Mme wangu anatembea na rafiki yangu

Mme wangu anatembea na rafiki yangu

honey ulimuadisi utamu unaopewa sasa lakufanya

ZIDISHA MAHABA
MAUNO MANJONJO MKIWA PANDE ZA 6

JITOE UFAHAM PANDE ILE

ikiezekana mfanyie katerero atarudisha majeshi

We hayo mauno unayo au mbwembwe tu?
He he he soriiii
 
shost upo? Umeona mambo ya ndoa hayo? Sipati picha ndo mmeo huyo! He heeee..

No offence but nahisi tatizo la wanawake wengi ni kuwaza mpaa siku ya harusi tu hamuwazi baada ya hapo mtaishije na changamoto kama hz utakabilianaje Nazi
U guys think ndoa ni that straight forward tamuu sio?
Have u ever asked yourself like mama zetu wamekutana na matatizo zaidi ya hayo?Je wameyashindaje?
Wengi mnaingia kwenye ndoa kufuata mkumbo na presha za maisha tu (age n marafiki kuolewa) ndo tatizo lakini ni changamoto kama changamoto zingine tu na manaweza kuzikabili
 
Ahahhahhhahaha umenikumbusha Moro maana ndo mambo yao hayo,mpaka sare inashonwa kisa msoto lol mbwa naye avalishwa sare chezea msoto weyeee..

Small mind tu hawana akili
 
Kiufupi mumeo na shoga yako wote wanatabia mbaya

Wanafiki

Wauaji

Mface mumeo

Mface rafiki yako

Wasipoachana fanya maamuzi magumu

Nakataaa
HV MTU unawezaje much eat tu ilimradi?
There must be a reason aisee so ajiangalie kwanza yeye anakosea wp
 
Tatizo lenu huwa hamna mipaka na marafiki zenu vipenzi. Nina hakika huyo rafiki yako katumia udhaifu wako kutimiza haja yake. Na wewe umeshiriki hilo aidha kwa kujua au kutojua ukiamini ni shogako kipenzi! Jifunzeni kuwa na kifua mambo ya chumbani yasitoke nje ya chumba ndo maana pakaitwa Master bedroom

Well said kaka
Bado MTU hajui the difference btn being a woman n a girl still anaishi kama alivyokua anaishi miaka kadhaa iliyopita anajiona bado msichana hamna siri hamna mipaka ya urafiki wao
 
Nawewe mpe mzigo mume wa rafiki yako tena hakikisha unalala hukohuko mpaka asubuhi. Mumeo akikupigia simu mwambie unampa gegedo mume wa rafiki yako alizidiwa genye kwakuwa mke wake anatembea na wewe (mumeo) hivyo hana muda wakumpa gegedo mumewake sasa kwakuwa wewe ni shosti umeamua kumsaidia. Alafu ukirufi nyumbani kunywa maji glass tatu akiwa anaona kisha jitupe kwenye sofa piga mihayo mikubwa sana kisha hemahema kwanguvu alafu Mwishoni Sema hivi "kuto......bwa ndo huku". Alafu msifie huyo mume wa rafiki yako kwamba anajua sana kugegeda alafu onesha kwamba umechoka hata kuinuka huwezi. Kisha ingia kuoga jiandae jopodoe alafu muage mumeo mwambie yule mume wa rafiki anaupweke anataka tena naenda kumpa mzigo na mkewe atakuja kukupa we we(mumeo) kama munavyofanya siku zote. Akiwa mkali mwambie hivi "ingekuwa inaruhusiwa kubadilishana mabwana ningeomba tubadilishane''. Alafu umsikie atasemaje ila ukiona haongei kitu alafu anaingia chumbani gafla, mkuu timua mbio ujue tena hapo ni mambo ya 'Ufoo Saro'.

Mwanaume gani wa kumfanyia mambo yote haya unamtakia mema kweli rafiki yako?
 
Unawaza kwa kutumia makalio
 
Mwite rafikiyo msaulie viwalo vyote mwambie akuoneshe nini anampa mumeo..kisha add ufundi wako mumeo atarudi ndani.....
 
Wewe Ustakuwa unakula mpaka mama mkwe wako huna haya we
Acha uchoyo na ubinafsi we she blv she can be advised wisely if u don't ts yo problem but kama unaweza msaidia wazo lolote u a welcome but not kwa majibu kama haya otherwise uniambie hujui maana ya hili jukwaaa
Unakeraaa
 
Back
Top Bottom