Manineeeer wallah,,mtafute rafik yake na wewe ukagegedwe hapo roho kwatu
nitaolewa na kibabu..sitak shida kama hiZi..
uchafu mtupu..
Wewe Ustakuwa unakula mpaka mama mkwe wako huna haya we
futa kauli mkuu umevuka mipaka sana. sio fair kabisa. haipendezi hii kauli.
Narudia ten a"unawaza kwa kutumia makalio"
sisapoti upumbavu mimi
Maelezo yake hayajitoshelezi, anapaswa kuleta kitu kamili sio kulaumu tu upande mmoja wa shilingi...wakati pengine kosa ni la kwake kujisahau alipoingia ndani ya nyumba...Kitu ambacho nashindwa kuelewa ni the way mwenye thread anakua so judged. Na kwamba hamridhishi mumewe and all bla bla blas. So kama huridhishwi ndo ukatembee nje? Umeanza na mmoja utajaribu mW engine na huyu wa kwanza utaona hakuridhishi n the list goes on? Swali umejiongezea shida au una solve?
Kama huridhishwi kwanini usikae chini na mhusika mkazungumza? Halafu kitu ambacho sielewi kumbe mwanamke ndio anatakiwa ahakikishe anamridhisha mume eenh? What if ye hamridhishi mkewe,nae achepuke kwa mshkaji wake?
Nachelea kumlaumu muomba ushauri.
Nadhani tafuta mda kama ni wkend mpikie mumeo chakula anachopenda, au mtoke then mtulie sehemu mface ukiwa umetulia bila hasira muulize shida ni nini. La kama anampenda zaidi rafiki yako pia akwambie. Kama atakubali na kutubu. Na rafiki yako mpe warning akiendelea hapo ndo maji ya moto/ tindikali zihusike sababu atakua mshenzi sasa.
Jamani nisaidieni nifanyaje maana kila siku nakuta sms za mapenzi kwny simu ya mume wngu. Amemsevu rafiki yangu jina lingine baada kupiga simu nikagundua ni namba ya rafiki yangu kpenzi .
Naomba ushauri
Heee sa ya kula mkwe au dem yamekujaje?
au sipaswi kukosoa?
Du foard hizo mes kwako then mwite rafiki yako hapo kwako alafu uwe umechemsha maji moto kwenye thermo akifika mueleze kwanza kabla hajaanza kujitetea hakikisha hayo maji yameishia usoni kwake .
Ahsante kwa kuujua umuhimu wetu. mababu ndo wenyewe kwenye mapenzi, karibu.
Tamisemi.
Started by Evz, Today 13:13
Nape nnauye hana sifa za kuwa kiongozi.
Started by Evz, Today 13:3
Mme wangu anatembea na rafiki yangu.
Started by Evz, Today 14:18