Mme Kuvalishwa Chupi ya Mkewe

Ndugu, hizo siyo spices za mapenzi hasa kwa wana ndoa. mara nyingi yanatokea kama ameshakuwa na wasiwasi nawe. hata akikuambia kuwa anafanya hivyo sababu anakupenda sana ni uongo tupu. mbona hakuwa anakuvalisha hizo nanihii zake tangu mwanzo? alisikia wapi mwanaume akivaa chupi ya mwanamke ndo inakuwaje sijui? hapo ndugu ujue kama hujatiliwa wasiwasi basi kuna lake jambo.
Mi naona ingekuwa ni kwa ajili ya vionjo, basi angekuwa anakuvalisha mkiwa chumbani ili awe anakuona, sasa anakuvalisha ukiwa unaenda kazini ili iweje? anakuona nani huko?

yap, sista................kwa washirikia inawezekana pia mganga wake kamuagiza hayo kwa malengo fulani............... hahaha............ take care............
 
Sio siri kama ni kucheka nimecheka. Labda kama walivyosema wenzangu
ni dizaini ya kuboresha mapenzi tu. Lakini mkuu hatujui ya wanawake ni mengi,
nakushauri na wewe hebu jaribu at least kwa mwezi mmoja kumvisha
chupi ya rangi moja pia huku unaangalia mwenendo wake. Utabaini ni nini.
 
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.

Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.

Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.

Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??

...khaaaaa?!!! :eek:
haya bana, hataishia hapo huyo...'utunda; na sidiria vitafuatia.
Ombea tu usije anguka hadharani ikabidi watu wasaule nguo zako,...aibu!
 
Ni mapenzi tu hasa pale mambo ya ubunifu yanapohitajika ndo kama hivyo.
Mkeo anakupenda sana kaaamua kuonyesha mapenzi yake kwa style ya kipekee
;)
 
jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.

nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.

pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? Kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.

nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??
huyo ana wivu. Ivae tu,ila kama inakusumbua waweza ivaa,ukifika hatua mia tu ukaivua,jioniiiiiiiiiiiii.unairudishia tena.
 
Duh! lakini hizo chupi visiwe vile vya tumikanda sijui manaita bikini mzee mzima unaweza kujikuta mizigo inakosa support na kuishi kugongwagogwa tu.
 
Ni mapenzi tu hasa pale mambo ya ubunifu yanapohitajika ndo kama hivyo.
Mkeo anakupenda sana kaaamua kuonyesha mapenzi yake kwa style ya kipekee
;)

angekuwa ni FirstGent wako ungemvisha?? ... pamoja na kuwa ni vionjo vya mapenzi lkn mimi naona ni upumbavu ... avae kufuli za mkewe kutwa nzima kazini na arudi nazo tena jioni .. halafu akaguliwe?? mapenzi gani hayo?? thats very ridiculous ... its just a total insecurity ya huyo mama au ana lake jambo. kwa mwanaume rijali sidhani hata kama mtarimbo utasimama baada ya hapo.

pfhuuuu ... God have mercy!!
 
Wana JF, nashukuru sana kwa mawazo yenu na kunifariji. Kwao mnaodhani hivi ni vioja siwezi kuwafanya muelewe ukweli wa jambo hili.

Siyo siri, nampenda sana mke wangu, na wala hatujakorofishana kuhusu mahusiano nje ya ndoa. Ndiyo maana swala hili nikalileta hapa niweze kueleweshwa kama ni kwaida au vipi? Maana JF ni jungu kuu halikosi ukoko.

Na hii yote imenigusa baada ya mwana JF kueleza kuwa mkewe ameweka mchuchumio kwenye kiti cha mbele ya gari ya mme.

Kwa walio kwenye ndoa nadhani hivi ni vijimambo tu vina-spice up mapenzi.

pole sana kwa hilo ... lkn nikuulize swali ... hivi huwa unasimamisha baada ya hapo na unamkanyaga kisawasawa (unatekeleza majamboz) kama kawaida?? huisi kama una mapungufu fulani??
 
Ni mapenzi tu hasa pale mambo ya ubunifu yanapohitajika ndo kama hivyo.
Mkeo anakupenda sana kaaamua kuonyesha mapenzi yake kwa style ya kipekee
;)

si mapenzi wamekosa kazi za kufanya ,na wewe unakubali tu kuvalishawa umetulia, dalili mbaya hizo
 
Huyo mke wako anapenzi lililopita kikomo...wala husimwache mana anajali afya yako. Next time mwambie unapendelea akuvashe chupi chafu yenye kauvundo kwa mbaaaaaali ili unapokuwa kazini uwe unatoa stress kiulaini, yaani unakwenda maliwatoni, unaivua na kuitundika puani kwako huku ukipiga punyeto....angalia tu husiwe unapoteza finger prints kwa punyeto.
 
si mapenzi wamekosa kazi za kufanya ,na wewe unakubali tu kuvalishawa umetulia, dalili mbaya hizo

Nyuki wajua huyo Mwanamke ana jambo lake ..na baada ya muda kasema atamwambia mmewe kwa nini alikuwa anafanya hivo

..Labda atakuja tena kutupa jibu atakalopewa na wife
 
Nyuki wajua huyo Mwanamke ana jambo lake ..na baada ya muda kasema atamwambia mmewe kwa nini alikuwa anafanya hivo

..Labda atakuja tena kutupa jibu atakalopewa na wife

Huyo ana mtega tu, ingekuwa nia ni mapenzi basi asingemkagua akirudi nyumbani. Nia yake ni kutaka kujua kama mumewe huwa ana-cheat mchana na mwanamke mwingine, say at lunch time or whatsoever. Lazima manii zitababaki baki na kuganda kwenye chupi hata mwanaume angeoga vipi. Au hata harufu yake pia huwa inabaki.

Sasa kwa wataalamu wa cheating hapa mjini huwa wanabeba chupi za ziada kwenye buti la gari.....!!! Akimaliza ku-cheat anaoga, kisha anavaa chupi kwa masaa kadhaa, halafu muda mfupi kabla ya kwenda home anajisafisha na anavaa chupi nyingine iliyo safi.

Angalizo: Sijasema wanawake mkakague mabuti ya magari ya waume zenu, shauri yenu, mimi simo
 
kabla sija comment naomba uniambie unavaa chupi zake zipi? G string au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom