Mme Kuvalishwa Chupi ya Mkewe

kinachokuchosha nini hapo????.......... kuvaa? je angekuwa anakuvua na kukutaka uende kazini na kengele zinagongwa ungesemaje??.........anajinafasi tu ndani ya eneo lake la kujidai............ ndio raha yake, ndio udhaaifu wake.......... ukimkatalia utamyima raha ya maisha............. msapoti, ikiwezekana uwe unazinuua wewe........... na usisubiri akuvishe, vaa mwenyewe.......... kuna ubaya gani? si nguo tu????? tena ukishavaa uwe na amani na furaha tele................. maisha yaendelee kwa raha zenu...............

ROFL that was hilarious ... u made my day...:D
 
Vaa mkuu,endelea kuonyesha upendo. Kama kuna kufua,kufagia,kupika kaza mwendo. Usipojali wewe nani aonyeshe kujali?
 
a. Kwa wanaume wanaoenda "downlow".. chupi nyeupe zinadokeza kama na wao wanatafunwa! Hivyo, anaweza kuwa na mashaka na wewe.

Ebana eeeh hizo chupi nyeupe zinadokezaje kama mwanamme anatafunwa? And, how do you know that, by the way.....just curious
 
Mhh haya kila la kheri ila inabidi uwe na mipaka hata kama ni mkeo jamni siku akikuambia uvae s.....a utakubali???
 
na wewe mvalishe bukta lako aende nalo kazini.

labda kahisi una mambo ya kike ndio maana kaona bora akuvalishe chupi zake.na atakuwa anakushangaa kuona hata hujawa mkali umekubali bila tatizo.
 
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua. .....Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??

Pole Mkuu kwa kuvishwa vinasa vya mkeo! Umenikumbusha mbali na miaka mingi sana, nikiwa ama shule ya msingi au form 1 or 2, sikumbuku vizuri. Nilikuwa naongea na marehemu bibi yangu (nyanya yangu)-Mungu amlaze pema, na from no where akaanza kueleza jinsi wanawake wengi walivyo wajanja, walaghai nk, baada ya kuelezea watu wa enzi zake wengi aliowafahamu na ambao walikuwa wanapelekeshwa na wake zao akasita kidogo na kuniangalia machoni na kusema "........ mjukuu wangu hata siku moja usije kukubali mwanamke yeyote kukuvalisha chupi yake...", pia akaendelea, "...na ufahamu kuwa ukivalishwa hiyo chupi, au ukikubali kuvaa hiyo chupi huo ndiyo utakuwa mwisho wako kama mwanaume..."

Nasikitika kuwa kwa kuwa nilikuwa mdogo sikuweza kuendeleza mazungumzo vizuri ili anieleza zaidi, na hata nilipomuuliza hakutaka kunieleza zaidi, kwa bahati mbaya bibi sasa ni marehemu hivyo siwezi pata maelezo zaidi!

Ushauri wangu wa bure ni kuwa "just don't do it" nahisi kuna mzaidi ya wewe unavyofikiria! na nikikumbuka maelezo ya marehemu bibi nahisi kuwa hiyo ni aina ya limbwata ya nguvu! yaani kali kuliko zile za kulishwa hivyo kaa sawa kaka!
 
Itafikia siku atakwambia uvae gaguro zake, sijui utasemaje!

Kama wewe ni Muumini wa Dini ya Kiislam, ilo jambo la kuvaa nguo za kike limekatwaza kwenye Uislam.

“Mwenyezi Mungu kamlaani mwanamme mwenye kuvaa vazi la kike, na mwanamke mwenye kuvaa vazi la kiume. Kama alivyowalaani wale wanaume wenye kujifananisha na wanawake, na wanawake wenye kujifananisha na wanaume.”
(Imepokewa na Bukhaariy)

Na kama ni Mkristo pia Biblia imeshakataza jambo ilo:

Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Kumbukumbu la Torati 22:5
 
Endelea na ujinga wako tu,ataanza kukuvalisha pedi huku akikwambia ni mapenzi tu,hebu zinduka na uchukue hatua kulinda uanaume wako.
 
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.

Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.

Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.

Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??
Mwambie awe anakuvalisha na shanga kabisa uwe full burudani.
 
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.

Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.

Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.

Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??

Mmmh!! Funny!! Ulitaka tucheke tuu au ndo uko serious?? Sasa kwako chupi ya kike inakaaje? Mzee si atakuwa anacholopoka kila mara? Hii story ni ya kufikirika ninavyoona.
 
Wana JF, nashukuru sana kwa mawazo yenu na kunifariji. Kwao mnaodhani hivi ni vioja siwezi kuwafanya muelewe ukweli wa jambo hili.

Siyo siri, nampenda sana mke wangu, na wala hatujakorofishana kuhusu mahusiano nje ya ndoa. Ndiyo maana swala hili nikalileta hapa niweze kueleweshwa kama ni kwaida au vipi? Maana JF ni jungu kuu halikosi ukoko.

Na hii yote imenigusa baada ya mwana JF kueleza kuwa mkewe ameweka mchuchumio kwenye kiti cha mbele ya gari ya mme.

Kwa walio kwenye ndoa nadhani hivi ni vijimambo tu vina-spice up mapenzi.
 
Ndugu, hizo siyo spices za mapenzi hasa kwa wana ndoa. mara nyingi yanatokea kama ameshakuwa na wasiwasi nawe. hata akikuambia kuwa anafanya hivyo sababu anakupenda sana ni uongo tupu. mbona hakuwa anakuvalisha hizo nanihii zake tangu mwanzo? alisikia wapi mwanaume akivaa chupi ya mwanamke ndo inakuwaje sijui? hapo ndugu ujue kama hujatiliwa wasiwasi basi kuna lake jambo.
Mi naona ingekuwa ni kwa ajili ya vionjo, basi angekuwa anakuvalisha mkiwa chumbani ili awe anakuona, sasa anakuvalisha ukiwa unaenda kazini ili iweje? anakuona nani huko?
 
Umestarehe Mkuu ,Wenzio huekewa ndani ya mfuko wa plastic na( kuwa prizavu )na huzivaa kama vile mtu aliweka maski ya usoni.
 
Itafikia siku atakwambia uvae gaguro zake, sijui utasemaje!

Kama wewe ni Muumini wa Dini ya Kiislam, ilo jambo la kuvaa nguo za kike limekatwaza kwenye Uislam.

“Mwenyezi Mungu kamlaani mwanamme mwenye kuvaa vazi la kike, na mwanamke mwenye kuvaa vazi la kiume. Kama alivyowalaani wale wanaume wenye kujifananisha na wanawake, na wanawake wenye kujifananisha na wanaume.”
(Imepokewa na Bukhaariy)

Na kama ni Mkristo pia Biblia imeshakataza jambo ilo:

Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Kumbukumbu la Torati 22:5

kwa upande wa biblia umekosea............... labda ungefafanua ungeeleweka sio kubandua tu na kubandika.................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom