Mme Kuvalishwa Chupi ya Mkewe

ChaMtuMavi

JF-Expert Member
Oct 15, 2008
330
8
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.

Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.

Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.

Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??
 
......Nimeishia kucheka tu, inawezekana mkeo anakuonyesha penzi kwa dizaini hiyo ya kukuvisha chupi zake. Kuna dada aliwahi kuniambia kwamba yeye anavaa chupi za mumewe........huwa zinamuongezea hamu.
 
samahani kaka lkn nimecheka hadi mbavu zimeuma!toa ushirikiano tu mapenzi yana vionjo vingi jamani lol!
 
Ili ujue lengo lake ambalo mie nishampata ukirudi toka kazini nenda bafuni fua mwenyewe haraka haraka.kama lengo lake ni upendo hatan'gaka ikawa kinyume chake jua kuwa analake jambo.anahitaji kujua kama umetoka kona na anategemea kukuta mabaki ya mambo ambapo chupi nyeupe ni rahisi kuonwa. Ni VIJIMAMBO vya ndoa.pole mkuu
 
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.

Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.

Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.

Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??

Endelea tu kuvaa hizo G strings!
 
kinachokuchosha nini hapo????.......... kuvaa? je angekuwa anakuvua na kukutaka uende kazini na kengele zinagongwa ungesemaje??.........anajinafasi tu ndani ya eneo lake la kujidai............ ndio raha yake, ndio udhaaifu wake.......... ukimkatalia utamyima raha ya maisha............. msapoti, ikiwezekana uwe unazinuua wewe........... na usisubiri akuvishe, vaa mwenyewe.......... kuna ubaya gani? si nguo tu????? tena ukishavaa uwe na amani na furaha tele................. maisha yaendelee kwa raha zenu...............
 
Ooo my God! Kweli humu ndani kunavituko, kaka wewe vaaa tuu kwa kumridhisha na kujiaminishia kwake kwamba anacho fikiria sicho. Tena mwambia ukivaa kwa kweli unajisikia raha mpaka basi na siku yako huwa ya amani na raha tele then mbusu. Ivue mbele yake mpe akafue.
 
Huyo ndo mtu MWANAMKE bwana, yani kuhangaika tuu kila wakati kusipokuwa na sababu, njiwa wa kwako mwenyewe manati ya nini. Wee timiza wajibu wako, ukiona vipi mambo si mambo ondoka, kwani kuachana ni kifo. Mambo mengine mimi nayaitaga ni USLAVE MASTER/MISTRESS. Why, why! kwanza nadhani huyo jamaa namuona ***** kweli. Have some reasoning wanawake wenzangu jamaani. Mimi ingekuwa huyo dada, kama kweli nataka mme wangu avae chupi yangu (na kwa nini atake, kama amekupenda atavaa mwenyewe bila ya wewe hata kumwambia) ningemuuliza kama yuko willing kuvaa au la, na sio kumlazimisha kwa sababu zako fulani fulani. Khaaa!
 
Kama ni kwa ajili ya mapenzi, kuna ubaya gani akimtia kidole?

What's love gotta do with it? Watu wanatimiza fantasies zao tu hapo, some shemale's pussy power and role reversal polemics, baba anakuwa mama and vice versa. The thrill of control and power. Mapenzi hayatakiwi kuwa na ma control freaks kama hawa.

Unamkagua mmeo chupi kama mtoto wa miaka saba?

Na jibaba nalo linakubali tu? Mbali na hapo linakuja kutuletea kilio chake hapa? Huyu kwetu tunasema kaolewa, na si ajabu anaendekeza "wanaume kama mabinti" kama alivyojisemea JD.

Saa nyingine nafikiri JF fix nyingi sana hapa.
 
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.

Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.

Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.

Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??

Mnafanana maumbo na mkeo:D?
 
Huyo ndo mtu MWANAMKE bwana, yani kuhangaika tuu kila wakati kusipokuwa na sababu, njiwa wa kwako mwenyewe manati ya nini. Wee timiza wajibu wako, ukiona vipi mambo si mambo ondoka, kwani kuachana ni kifo. Mambo mengine mimi nayaitaga ni USLAVE MASTER/MISTRESS. Why, why! kwanza nadhani huyo jamaa namuona ***** kweli. Have some reasoning wanawake wenzangu jamaani. Mimi ingekuwa huyo dada, kama kweli nataka mme wangu avae chupi yangu (na kwa nini atake, kama amekupenda atavaa mwenyewe bila ya wewe hata kumwambia) ningemuuliza kama yuko willing kuvaa au la, na sio kumlazimisha kwa sababu zako fulani fulani. Khaaa!

yeah, huyo dada ni mgonjwa, anumwa saikolojia........... na matibabu yake yataka mchukuliane naye taratibu....... huenda ana hofu ya kukosewa uaminifu, huenda ni wivu tu usio na sababu............... nimeshauri mume akubali na atoe ushirikiano kama hatua ya muda mfupi lakini lazima mwishoni waweze kurudi kila mmoja kwa kile kinacompa amani kukivaa........... isije ikageuka utumwa per se.....................

atu wengine ni wa kuhurumiwa tu na kupewa canseling.............. ila kuna kila dalili kuwa hiki kisa ni cha kutunga tu kuchangamsha jamvi..............
 
What's love gotta do with it? Watu wanatimiza fantasies zao tu. Mapenzi hayatakiwi kuwa na ma control freaks kama hawa.

..

Nakubaliana na wewe. Ila kama amekubali kuvaa chupi, nini kutiwa kidole?

......

Saa nyingine nafikiri JF fix nyingi sana hapa.

Inawezekana watu wanatunga visa, wapenda attention na mambo mepesi mepesi.

Huwezi kuja JF kutafuta ushauri kwa kuwa mkeo anakuvisha chupi, mumeo anataka kukuingilia kinyume na maumbile, msichana mwenzio anakutaka kimapenzi.

Haya mambo kwa self cognizant, living his/her principles anajua jibu au/na cha kufanya.
 
Huyo ndo mtu MWANAMKE bwana, yani kuhangaika tuu kila wakati kusipokuwa na sababu, njiwa wa kwako mwenyewe manati ya nini. Wee timiza wajibu wako, ukiona vipi mambo si mambo ondoka, kwani kuachana ni kifo. Mambo mengine mimi nayaitaga ni USLAVE MASTER/MISTRESS. Why, why! kwanza nadhani huyo jamaa namuona ***** kweli. Have some reasoning wanawake wenzangu jamaani. Mimi ingekuwa huyo dada, kama kweli nataka mme wangu avae chupi yangu (na kwa nini atake, kama amekupenda atavaa mwenyewe bila ya wewe hata kumwambia) ningemuuliza kama yuko willing kuvaa au la, na sio kumlazimisha kwa sababu zako fulani fulani. Khaaa!
ila jamani haipendezi!yaani umvalishe mwanaume wako chupi yako umlazimishe aende nayo kazini!je bahati mbaya akiwa mbele za watu shati lipande juu watu waione si aibu!na hivi siku hizi wanawake ni mwendo wa vi g-strings tu au yeye wifi anavaa bado yale mabukta!ngoja nisiuliza sana cha msingi ni furaha ktk ndoa yenu!
 
Huwezi kuja JF kutafuta ushauri kwa kuwa mkeo anakuvisha chupi, mumeo anataka kukuingilia kinyume na maumbile, msichana mwenzio anakutaka kimapenzi.

Haya mambo kwa self cognizant, living his/her principles anajua jibu au/na cha kufanya.

Spot on!
 
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.

Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.

Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.

Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??

well.. kuna kitu anashuku:

a. Kwa wanaume wanaoenda "downlow".. chupi nyeupe zinadokeza kama na wao wanatafunwa! Hivyo, anaweza kuwa na mashaka na wewe.

Lakini sijui kama anakukagua wewe ukirudi au anakagua chupi! Sasa hata wanaume wana chupi nyeupe ila ya kukuvalisha za kwake kuna jambojingine. Anachojaribu kuhakikisha ni kuwa huwezi kwenda mbele ya mwanamke mwingine ukawa unavua chupi ya kike kwa hiyo alichofanya ni abiria kuchunga mzigo wake!

So.. endelea kutoa ushirikiano hadi akuambie vinginevyo. Mkimaliza, mgeuzie kibao..
sorry.. sikutaka kukushauri..
 
Wewe vaa tu usilalamike na huna la kufanya. Ila uwe unaomba Mungu usije ukapata ugonjwa ghafla ukakimbizwa hospitali. sijui maDR na manurse watakuelewaje!!
mapenzi haya jamani!
 
Ooo my God! Kweli humu ndani kunavituko, kaka wewe vaaa tuu kwa kumridhisha na kujiaminishia kwake kwamba anacho fikiria sicho. Tena mwambia ukivaa kwa kweli unajisikia raha mpaka basi na siku yako huwa ya amani na raha tele then mbusu. Ivue mbele yake mpe akafue.

Mhhhhhhhhhhh...Itakuwa ngumu
 
Lord have mercy.....hili jukwaa siku hizi limegeuka kuwa jukwaa la vichekesho...yaani siku hizi I look forward kuja huku kila siku na kusoma yaliyojiri.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom