Mmasai

NNYAMBALA

Member
Mar 3, 2011
85
12
Mmasai mmoja alikuwa anasafiri na Mkewe, usafiri ulikuwa wa shida lakini bahati nzuri likaja roli na Mmasai akawaomba wenye gari wantie mbele Mke wake na Yeye wamtie nyuma.
 
Alikuwa mmasai wa ukweli, aliposema mkewe atiwe mbele alimaanisha akae kule kwa Dereva na Yeye atiwe nyuma alimaanisha akae kule anakokaa Utingo.
 
Alikuwa mmasai wa ukweli, aliposema mkewe atiwe mbele alimaanisha akae kule kwa Dereva na Yeye atiwe nyuma alimaanisha akae kule anakokaa Utingo.

afudhi za wapemba n'tampa, n'tie, na zile ambazo bara huoneka kama matusi kwa masai hawatumii hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom