Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,282
- 44,793
Wewe unamuwakilisha nani maana wamachinga walikwisha kubali kuhama, naona umeingia leo toka Mtwara.Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Labda yupo ulaya..We mgeni nchi hii?
Labda fafanua vizuri anauawaje?Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Dogo siku hizi una posti na kuchangiaga kiudhaaaifuuuuu.Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
kichovu mno hadi nimerudi kukagua ID hahahahaDogo siku hizi una posti na kuchangiaga kiudhaaaifuuuuu.
kichovu mno hadi nimerudi kukagua ID hahahaha
Uzee unakusumbua wewe... even Mwendazake alitaka zipatikane sehemu kabla ya kuhamishwa issue hizo sehemu ndizo zilikuwa hazipo na matokeo wameongezeka hadi wale waliokuwa na maduka wakafunga ila uwezo wanao so hakuna tatizo litakalotokea zaidi ya nyie wanasiasa Malaya kama alivyosema Malehemu Nyerere upinzani upo kwenye tawala pia upo... umachinga kila sehemu ni uchafu na pia hawakuambiwa wajenge mabanda machafu kila sehemu hadi kwenye services road... kwa umri wako na ulichoandika yaonesha unazeeka kipumbavuHili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Hii ni kwawanao tazama mbele mzee.Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...