Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mimi binafsi nakushukuru sana kwa kutujuza habari hii, hata bbc, al jaziira au cnn wakitoaga breaking news si kwamba huwa wamekwenda kutoa msaada kwanza say bomb limelipuka mahala fulani llimejerui au kuua watu kadhaa. Wao kazi yao ni kujuza wasikilizaji na wasomaji huu pia ni wajibu mkubwa.

Kwa wale wanaokulaumu kuwa umetoa breaking news bila kutoa msaada wapuuze tu kwakuwa nao wametimiza wajibu wao ( kulaumu) japokuwa lawama zao hazisaidii kama wewe ulivyotusaidia kujua tukio hilo!
 
Ili hizi ajari zichukuliwe uzito inatakiwa kila ajari ya basi inapotokea na kuua bendera zipeperushwe nusu mlingoti hapo ndo tutajua watu wanavyoangamia sana kwa ajari za barabarani!!!!!!!!!!! Na viongozi wasiowajibika ipasavyo ktk nafasi zao watabainika
 
Sina la kuchangia zaid ya kuwatakia marehemu kila la kheri huko waendako.
 
Mimi binafsi nakushukuru sana kwa kutujuza habari hii, hata bbc, al jaziira au cnn wakitoaga breaking news si kwamba huwa wamekwenda kutoa msaada kwanza say bomb limelipuka mahala fulani llimejerui au kuua watu kadhaa. Wao kazi yao ni kujuza wasikilizaji na wasomaji huu pia ni wajibu mkubwa.

Kwa wale wanaokulaumu kuwa umetoa breaking news bila kutoa msaada wapuuze tu kwakuwa nao wametimiza wajibu wao ( kulaumu) japokuwa lawama zao hazisaidii kama wewe ulivyotusaidia kujua tukio hilo!

Na baada ya kujua ukatoa msaada.
 
Jamani, hvi kwa nini serikali yetu haijali maisha ya raia wake kiasi hiki? Watu wanapoteza maisha yao kila siku kwa ajali hizi za kujitakia.
Ndugu Serikali, hivi tutaendelea kupoteza maisha yetu kila siku namna hii, na wewe umekaa kimya bila kuchukua hatua madhubuti za kudhibiti, mpaka lini?
 
Kana kwamba serikali ndo ilikuwa imeshikilia usukani!
Bila shaka ulishawahi mara moja au zaidi kuwa abiria kwenye bus.
Uliwahi kuchukua hatua gani kutokana na Reckless Driving ulizowahi kushuhudia?
 
<font color="#ff0000"><font size="4"><span style="font-family: arial narrow">Gari gani? Ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi? kama haujui hilo futa thread yako kwa kuwa haina msaada kwetu</span></font></font>
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Ni basi inaitwa Grazia ilikuwa inatoka Njombe kwenda Dar. Binafsi nilikuwa kwenye basi la Budget nikitokea Njombe pia tangu tulikuwa tunaongozana ila tulipofika Aljazeela kula chakula tukaliacha, cha kusikitishatulipofika Mlandizi ndo abiria akawa amepigiwa simu na ndugu yake aliyekuwa kwenye hilo basi kwamba wamepata ajari maeneo ya morogoro, kwa taarifa za harakaharaka ni kwamba watu 5 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 30 kujeruiwa. Kawaida hii basi ya Grazia kila mara imekuwa ikiaribika njiani na wakati mwingine ina fail breki, hivyo ni KIMEO hafai ktk long trip.
 
Dah! Hizi ajali jamani embu ninyi madereva hasa wa mabasi kuweni makini jamani mbna mnakatisha maisha wa2 hv fasta? Poleni wafiwa!
 
wapo radio wametangaza sasa hivi maiti 10 zimeshapatikana, wanawake 8 na wanaume wawili kwenye basi la Bravia lililokuwa linatoka Njombe kuja Dar. Maiti zimeshapelekwa hosp na bado wanaendelea kuinua basi ili kuopoa maiti zaidi
 
Ajali imetokea Mwidu mkoa wa pwani,na imeingia mtaroni,watu 10 wamekufa hapohapo,wanawake 7,
 
Watu 10 wamefariki hapo na majeruhi 19...from Radio free Afrika. RIP
 
Watu 10 wamekufa 7 ni wanaume na 3 wanawake chanzo ni mwendo kasi-kamanda wa polisi mkoa wa pwani ametanabaisha
 
sio ndio hiyo ajali ya Morogoro au kuna nyingine tena?
 
Nadhan,,,,,,coz nimekuta post ambayo inataja eneo hlo la ajal,so nilkua nimeposst ndo nkaiona
 
Kuna mwingne alitoa taarifa hapa ya ajali ya basi toka njombe kuja dsm..na hii tena?? JESUS save us, its getting worse.!
 
Back
Top Bottom