Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
tuliza munkari brodaGari gani? Ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi? kama haujui hilo futa thread yako kwa kuwa haina msaada kwetu
tuliza munkari brodaGari gani? Ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi? kama haujui hilo futa thread yako kwa kuwa haina msaada kwetu
Yan jmn hawa watu wa humu jf wanatabu yan me nimetoa habari halaf wanaanza kunishambulia
We need to have the HIGHWAY POLICE DEPARTMENT, other country they call them interstate police kukaa kwenye hizo barabara usiku na mchana kuangalia huo uendeshaji.
The other alternative is to create a two way line... rather than one way to help the traffic and high speed
This Good Roads now will kill all of us now...
Acha kulalama mtoto wa kike. Jibu unachoulizwa.Yan jmn hawa watu wa humu jf wanatabu yan me nimetoa habari halaf wanaanza kunishambulia
Hivi morogoro kuna nini kwani???? mbona ajali kila siku morogoro....this is too much!!!1
Mleta mada wewe umeokoa wangapi na hio gari yako kuwakimbiza hospitali?au ulikuwa unawaangalia wanavyoteseka tu,watanzania bana hatusaidiani kabisa.