MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 867
- 331
WanaJF haabari zenu! Nimeshuhudia ajali mbaya sana ya gari aina ya Lori mnamo saa 07:36am Maeneo ya Puma karibu na Hospital ya Malikia wa ulimwengu-Singida! Lori ilikuwa ikielekea mnadani ikiwa na wajasiriamali takribani sabini! Bado haijajulikana mauti yamewapata wangapi ila hali ni mbaya mno! Namshukuru Mola kwani ilikuwa ituangukie wakati tunatakaka kupishana nalo!
Nawakilisha!
Mbona ajali nyingi Singida ni eneo hilohilo?
Nakumbuka Basi la Mohamed liliwaka moto karibu na hapo