Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Basi gan hlo mkuu?, lilikua linatoka na kwenda wapi?
<br />
<br />

ni basi la grazier kutoka njombe limeanguka baada ya kupasuka tairi. Inahofiwa watu wamepoteza maisha na majeruhi wengi wamwbanwa ndani. Source: itv breaking news
 
Nyooo, anasema viongozi wako wapi kila siku ajari zinatokea hawachukui hatua harafu wewe unauliza wakati bado tunaomboleza ajari nyingine. Viongozi wa Tanzania wapo kwa ajiri ya CHAMA CHA MAPINDUZI NA KUJIANDAA KWA UCHAGUZI TU ndo kazi yao. na igunga na ccm itatutoa kafara sana. PERIOD.

unapouliza viongoz wako wapi unamaanisha nn kwan kiongoz gan unamuhitaj , unaacha kuwasaidia watu unataka viongozi kweli tanzania hatuweza kuendelea kila kitu viongoz hata hili la kuwasaidia wenzetu walionaswa? lawama zingine tuangalie jaman tusikurupuke km tunaamka usingizin
 
haya someni sasa habari hapa sio mnamkera mleta mada hapa.....
Taarifa nilizozipata kutoka kwa shuhuda ambaye yupo eneo la tukio, basi linaloitwa Gravia linalotokea Mbeya kwenda Dar limepeta ajali maeneo ya Mwidu KM55 kutoka Morogoro mjini.
Basi hilo limepinduka na watu kadhaa kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
Chanzo cha ajali ni overtaking ya basi hilo kujaribu kulipita gari lingine.
So far miili ya watu watatu(wanawake wawili na mwanaume mmoja) zimepatikana na inakadiliwa maiti nyingine zimebanwa na gari hilo ambalo raia wema wanajitahidi kulinyanyua basi hilo kwa kutumia mikono yao bila mafanikio.
Tayari askari wa usalama barabarani wamefika eneo la tukio lakini hawana msaada kwani hawakuja na kifaa chochote cha kusaidia uokoaji.
Mvua inanyesha maeneo hayo na kazi ya kuokoa bado ni ngumu kwani hakuna vifaa vya uokoaji.

Mungu aziweke roho za marehemu mahala pema pemoni....
 
Yan jmn hawa watu wa humu jf wanatabu yan me nimetoa habari halaf wanaanza kunishambulia
<br />
<br />
Best! Usitie shaka hata kidogo! Ndivyo mambo yalivyo humu Best! We angusha mambo bora iwe 98% ni hai.
 
Innalillah wainaillah rajiun!madereva wazembe na barabara mbovu chanzo cha ajali tanzania.Tusubiri bla bla za sumatra
wallah.barabara zimetenganishwa kwa chaki halafu nyembamba...ukigeuka kidogo tu gari inaacha njia.umeongea ukweli mkuu.mia
 
Umejigundua kuwa umetumwa wewe? basi magazeti yasingekuwa yanaandika habari mpaka sijui iweje, tatizo IQ najua.
Mleta mada wewe umeokoa wangapi na hio gari yako kuwakimbiza hospitali?au ulikuwa unawaangalia wanavyoteseka tu,watanzania bana hatusaidiani kabisa.
 
Kusema kweli inasikitisha sana! yaani this days wananchi wanakufa kikatili kama wanyama?
Eeee mungu weeee! kwa uwezo wako tunakuomba utuepushie majanga haya
 
Kuna ajali mbaya imetokea morogoro ya basi,me nipo kwenye private car hilo basi limetupita likataka kutugonga tukakwepa tukaa pembeni,baada ya dakika 10 tumekuta limepata ajali nimeshuhudia maiti wawili wapo chini na wengine wamebanwa ndani ya busi.

Viongozi wapo wapi?na hawa wenye magari inakuaje wanawapa magari yao hao vichaa waendeshe?mana wanaua tu watu kila siku

Viongozi wetu wanatesa na maV8 wakichoka wanachukua ndege, kwani wao wanajali tunavyo pukutika!
 
Sitaki Kuamini Kwmb Mwenyezi Mungu katupangia Sisi kila aina ya Madhila..Kuna haja ya Kuamka Usingizini..Wanaokufa ni wananchi sio hao Viongozi sasa sisi Ngoja tundelee kulalama hapa tu..ooh Viongozi..Yaan hata kumkanya dereva apunguze mwendo au asiovateki bila Utaratibu nalo ni jukumu la Viongozi???..Nchi hii bwana..
 
Point of correction. Basi linatokea NJOMBE kwena Dar.
So far watu sita wamepoteza maisha.
 
Acha hizo bw yeye anatujuza tu na si mwandishi wa habari wala police, tuwe wastaarabu kidogo!!!!!!
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa shuhuda ambaye yupo eneo la tukio, basi linaloitwa Gravia linalotokea Mbeya kwenda Dar limepeta ajali maeneo ya Mwidu KM55 kutoka Morogoro mjini.
Basi hilo limepinduka na watu kadhaa kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
Chanzo cha ajali ni overtaking ya basi hilo kujaribu kulipita gari lingine.
So far miili ya watu watatu(wanawake wawili na mwanaume mmoja) zimepatikana na inakadiliwa maiti nyingine zimebanwa na gari hilo ambalo raia wema wanajitahidi kulinyanyua basi hilo kwa kutumia mikono yao bila mafanikio.
Tayari askari wa usalama barabarani wamefika eneo la tukio lakini hawana msaada kwani hawakuja na kifaa chochote cha kusaidia uokoaji.
Mvua inanyesha maeneo hayo na kazi ya kuokoa bado ni ngumu kwani hakuna vifaa vya uokoaji.

Mungu aziweke roho za marehemu mahala pema pemoni....

Litakuwa Grazia Kwa wapendwa route zake ni Dar-Njombe hilo.
Jamaa ana mabus mawili sumatra wakifanya kazi zao jamaa ndo basi tena.
Poleni majeruhi.
Pumnzikeni kwa amani marehemu
 
Ndg yng pamoja na kutoa hbr kitendo ulichofanya sio ubinadamu kabisa kuwapita watu wakati unajua wapn katika matatizo je hapo nani alaumiwe kati ya kiongozi au wewe na je kwa muda huo nani msada wake ulihitajika kati ya viongozi na wewe jamani tuwe na huluma jamani tulitegemea kuwa bada ya ajali ungewabeba hata majuluh kuwakimbiza hosipitalini kuokoa maisha yao hapo mkubwa hujatumia ubinadamu hata kidogo je unafikili kiongozi yupo dar na we upo eneo la tukio nani muhimu.jamani tuwe binadamu na sio watu.ebu fikilia unafika ulikokuwa unaenda unapata talifa kuwa mtu uliyekuwa una msamini alikuwepo ndani ya gali lilopata ajali na amefaliki kwa kukosa msada nani alaumiwe hapo
 
Masahihisho kidogo kwenye jina la bus:
Linaitwa Grazia Venerare Safaris.
 
Kuna ajali mbaya imetokea morogoro ya basi,me nipo kwenye private car hilo basi limetupita likataka kutugonga tukakwepa tukaa pembeni,baada ya dakika 10 tumekuta limepata ajali nimeshuhudia maiti wawili wapo chini na wengine wamebanwa ndani ya busi.

Viongozi wapo wapi?na hawa wenye magari inakuaje wanawapa magari yao hao vichaa waendeshe?mana wanaua tu watu kila siku

==============
UPDATES:

umefanya jitihada gani za kusaidia wahanga?nilitegemea ungerusha huu uzi ukiwa njiani kuwahisha majeruhi hospitali, naona umeamua kuonyesha ubinafsi kama hao viongozi wako unaowalalamikia.....
poleni wafiwa na majeruhi
 
Back
Top Bottom