<br /freemasons

Jesus! Kama ni nyingine tena basi mi nina cha kusema. Hebu 2subirie uhakika.

<br /freemasons

Ni basi la Grazia linalofanya safari kati ya Dar~Njombe,inasemekana chanzo ni mwendo mkali na mvua zinazoendelea mkoani pwani.

unapouliza viongoz wako wapi unamaanisha nn kwan kiongoz gan unamuhitaj , unaacha kuwasaidia watu unataka viongozi kweli tanzania hatuweza kuendelea kila kitu viongoz hata hili la kuwasaidia wenzetu walionaswa? lawama zingine tuangalie jaman tusikurupuke km tunaamka usingizin

mtt wa kike baba yako
Gari gani? Ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi? kama haujui hilo futa thread yako kwa kuwa haina msaada kwetu
Hapa kazi ipoWatu 10 wamekufa 7 ni wanaume na 3 wanawake chanzo ni mwendo kasi-kamanda wa polisi mkoa wa pwani ametanabaisha
wapo radio wametangaza sasa hivi maiti 10 zimeshapatikana, wanawake 8 na wanaume wawili kwenye basi la Bravia lililokuwa linatoka Njombe kuja Dar. Maiti zimeshapelekwa hosp na bado wanaendelea kuinua basi ili kuopoa maiti zaidi

nani mmiliki wa basi,,mwarabu??tutaisha!
Bahati mbaya tunamkumbuka Mwenyezi MUNGU pale matatizo yanapotusibu....Kwa jinsi anavyotupenda (MWENYEZI MUNGU) NI WAJIBU WETU KUMPENDA, KUMHESHIMU, KUMUABUDU NA KUFUATA NJIA ZAKE KATIKA KILA TUTENDALO.Jamani jana nieshuhudia Maiti wawili wakitolewa kwenye gari ambalo lilikua limeharibika vibaya kilometre Chache kabla ya kufika mikese ukitokea Dar Kwenda Morogoro.
Kwa hali ilivyokuwa inaelekea kuna watu wengi walipoteza Maisha katika ajali ile.
Ee Mungu tuepushe na hili Janga la ajali hapa Tanzania.
Jamani Imefika wakati wakuliishi neno, kama wewe ni Muislamu ishike quran, The same applies to you Christians.
Tuliishi neno jamani
Jamani jana nieshuhudia Maiti wawili wakitolewa kwenye gari ambalo lilikua limeharibika vibaya kilometre Chache kabla ya kufika mikese ukitokea Dar Kwenda Morogoro.
Kwa hali ilivyokuwa inaelekea kuna watu wengi walipoteza Maisha katika ajali ile.
Ee Mungu tuepushe na hili Janga la ajali hapa Tanzania.
Jamani Imefika wakati wakuliishi neno, kama wewe ni Muislamu ishike quran, The same applies to you Christians.
Tuliishi neno jamani