Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mimi nadhani ni wakati wakutembea na viboko kwenye magari kwa ajili ya kuwatandika hawa madereva wazembe. Ajali hazitokei tu bila kuwa na uzembe...! Na uzembe mwingi unasababishwa na madereva wakichangiwa na polisi wa usalama barabarani maana hawa polisi ndo hasa wanaopokea rushwa na kuruhusu madereva wazembe waendeshe bila kufuata sheria za barabarani.
kwel Quinty, umenena. 2cpoamua kuwahmiza mdareva kufuata sheria z barabaran, 2taendlea kufa kam kuku. Ikiwezekana hat viboko 2ingie navyo kwny magar.
 
Ajali nyingi zinasababishwa na madereva wakichangiwa na abiria ambao ndiyo wengi wao wanakufa na kupata ulemavu, kwani dereva anapoendesha kasi kupita kiwango na kuovertake kiajabuajabu wao wanakaa kimya kama wanavyicha CCM inaharbu nchi
 
Ni basi linaloitwa Grazie Venerare wanajamvi. Kwa kifupi madereva wa haya mabasi ni watu wa fujo sana. Nilishawahi kutokea tundu la sindano kugongwa na hili basi highway. Wanaendesha kama wamekatwa vichwa. Dah watatumaliza hawa wahuni
 
Ajali ya gari imetokea kimara mwisho dakika tano zilizopita gar inatokea mbezi daladala ndogo haikuwa na abiria ila imehama barabara ikiwa speed na kumgunga mama mmoja ambae amejeruhiwa vibaya yuko kituo cha polic kwa kupelekwa hospital.dereva na konda wamekimbia. Duu bonge la ajali.
 
Asante mkuu, endelea kuzurura ili ulete umbea mwingine hasa habari za kufumaniana.
 
asante reporter wetu...kumgunga with red, ndo kabila gani?
Ajali ya gari imetokea kimara mwisho dakika tano zilizopita gar inatokea mbezi daladala ndogo haikuwa na abiria ila imehama barabara ikiwa speed na kumgunga mama mmoja ambae amejeruhiwa vibaya yuko kituo cha polic kwa kupelekwa hospital.dereva na konda wamekimbia. Duu bonge la ajali.
 
Mtu mmoja tu unashupalia kuita bonge la ajali we ungekua huku znz si ungechoka mwenyewe kureport watu wanavopukutika kwa kugongwa na mavesper
 
alaf anaonekana dogo limbuken mpk dada amegwe ndo afanikiwe alaf anakaa kwa shem jina baya
 
Back
Top Bottom