Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Jaman watanzania tunakwisha. Leo mida ya asubuhi basi la campuni ya Muhamed trans la ARUSHA-MWANZA Limepata ajali maeneo ya MAKUYUNI. Watu wengi wamejeruhiwa vibaya na wengine wamefariki. Kwa macho yangu nimeshuhudia majeruh walipoletwa hospitali ya mko Arusha(mount meru hospital). Hata kama una roho ya namna gani ni lazima mtu utokwe na machozi kwa hali waliyokuwa nayo. Chondechonde watanzania,tuombee majeruhi.
<br />
<br />

Ni kweli kuna AJali mbaya imetokea ilohusisha Basi la kampuni ya MOHAMMED CLASSIC majira ya saa 1:30 asubuhi linafanya safari zake ARUSHA-KAHAMA na abiria(watu)wanne walipoteza maisha palepale na wengi ni Majeruhi, hivyo sio kampuni ya MOHAMMED TRANS Bali mOHAMMED CLASSIC Ni basi lililonunuliwa toka kampuni ya MUSUKUMA Ndie alikuwa mmiliki wa awali kabla ya kuuzwa. MUNGU AMETOA NA AMETWAA PIA WALAZWE MAHALA PEMA PEPoNI.
 
Jaman watanzania tunakwisha. Leo mida ya asubuhi basi la campuni ya Muhamed trans la ARUSHA-MWANZA Limepata ajali maeneo ya MAKUYUNI. Watu wengi wamejeruhiwa vibaya na wengine wamefariki. Kwa macho yangu nimeshuhudia majeruh walipoletwa hospitali ya mko Arusha(mount meru hospital). Hata kama una roho ya namna gani ni lazima mtu utokwe na machozi kwa hali waliyokuwa nayo. Chondechonde watanzania,tuombee majeruhi.
<br />
<br />
duh! Kweli sasa mabasi ya mohd ni tishio kila siku ajali wao tu
 
Alionekana kuguswa kwa mbali na hali za majeruhi na alikuwa akirusha pole kwa mbali sana, "wagonjwa poleni!" bila hata kutoa mkono.

Huyu anatakiwa ajifunze namna ya kuonesha 'sympathy', kisha amwajibishe waziri husika kwa sababu kila kukicha ajali zinazidi kuongezeka na hakuna mkakati unaofanya kazi wa kuzipunguza.

WHEN YOU TRAVEL TRY DO ANYTHING TO ARRIVE ALIVE!
 
Freemasons tuna kiu,ngoja tunywe damu kidogo,siunajua siku nyingi zimepita hatujanywaaa....
Jaman watanzania tunakwisha. Leo mida ya asubuhi basi la campuni ya Muhamed trans la ARUSHA-MWANZA Limepata ajali maeneo ya MAKUYUNI. Watu wengi wamejeruhiwa vibaya na wengine wamefariki. Kwa macho yangu nimeshuhudia majeruh walipoletwa hospitali ya mko Arusha(mount meru hospital). Hata kama una roho ya namna gani ni lazima mtu utokwe na machozi kwa hali waliyokuwa nayo. Chondechonde watanzania,tuombee majeruhi.
 
Sasa tuone kama na hili litafungiwa maana championi tayari wamefungiwa. Ukiuliza wengi wetu utaambiwa chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Mie pia ni mpanda mabasi haya yaendayo mikoani na wakati mwingine huwa natumia kamkoko kangu siku mojamoja wakati wa likizo kuelekea kijijini kwetu. Mie natofautiana na wanaohukumu kuwa sababu zote za ajali ni mwendo kasi. Mie nakataa. Kwa kipindi chote ninachokuwa naelekea kijijini I swear upon God hakuna basi hata moja huwa linakatiza mbele yangu. Hadi nafika Mbeya. Si upendo wala basi lolote linanipita. Si kwamba najigamba ila nataka kueleza kuwa gari hizi za kisasa zinatengenezwa ili kuhimili speed iliyowekwa. Kwa mfano mabasi mengi huenda hadi speed 120 kwa saa bila wasiwasi wowote.
Nionavyo mimi ni kuwa makini kwa maan ya kuwa na uhakika na uzima wa gari hasa matairi, breki na vifaa vingine kwa maan kuliweka gari tayari kwa safari. Kwa wale wanaosafiri kwenda dodoma au sehemu yoyote kama moro au arusha, askari wa usalama wako kila baada ya kama km 100 na "vitochi" na mwendo wa mabasi yetu huwa si mkali kivile. Hivyo mie napingana kabisa kwamba sababu kuu ya ajali ni mwendo kasi.
Sababu niionayo mie ni miundombinu yaani barabara zetu. Mtakubaliana na mimi kwamba barabara zetu ni nyembamba mno na hivyo inapotokea hitilafu yoyote dereva hana namna ya ku manouvre na hivyo hujikuta nje ya barabara. Laiti kama barabara zingekuwa pana kiasi naamini ajali zingepungua.
Sababu nyingine ni regulators wa usalama barabarani kutokuwa makini. Kila mwaka huwa kuna wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambapo kila gari linatakiwa kukaguliwa barabara ili kuhakikisha kama linastahiri kuwa barabarani. Hii haibagui kama ni la abiria au binafsi. Mtakubaliana na mimi kwamba kama zoezi hili lingekuwa linafanywa kwa ufasaha magari mabovyote yangebaibishwa na kutoruhusiwa kutembea barabarani. Lakini kwa sababu vyombo vyetu haviko makini, nadhani mnaelewa kinachoendelea. Naweza sema kwamba wiki ya nenda kwa usalama ni mradi wa kukusanya mapato kwani stika huuzwa bila ya hata kukagua gari.
Kama vyombo vingekuwa makini, naamini magari mabovu kila mwaka yangekuwa yanabainishwa na kutoruhusiwa kufanya safari ikiwa na ya abiria au ya binafsi.
 
wamekufa watatu , 51 majeruhi gari lilipasuka tairi la mbele . Source Rpc arusha . andengenye
 
Tumeshuhudia ajali mbaya za mabasi zinazoendelea kutokea hivi karibuni ambapo leo (Sept Mosi) basi za championi zimefungiwa kufanya safri zake.

Kuna taarifa pia kwamba kuna basi jingine limepata ajali huko Arusha eneo la makuyuni na kusababisha majeruhi kadhaa. Sasa tuone kama na hili litafungiwa maana championi tayari wamefungiwa. Ukiuliza wengi wetu utaambiwa chanzo cha ajali ni mwendo kasi.

Mie pia ni mpanda mabasi haya yaendayo mikoani na wakati mwingine huwa natumia kamkoko kangu siku mojamoja wakati wa likizo kuelekea kijijini kwetu. Mie natofautiana na wanaohukumu kuwa sababu zote za ajali ni mwendo kasi. Mie nakataa. Kwa kipindi chote ninachokuwa naelekea kijijini I swear upon God hakuna basi hata moja huwa linakatiza mbele yangu. Hadi nafika Mbeya. Si upendo wala basi lolote linanipita. Si kwamba najigamba ila nataka kueleza kuwa gari hizi za kisasa zinatengenezwa ili kuhimili speed iliyowekwa. Kwa mfano mabasi mengi huenda hadi speed 120 kwa saa bila wasiwasi wowote.

Nionavyo mimi ni kuwa makini kwa maan ya kuwa na uhakika na uzima wa gari hasa matairi, breki na vifaa vingine kwa maan kuliweka gari tayari kwa safari. Kwa wale wanaosafiri kwenda dodoma au sehemu yoyote kama moro au arusha, askari wa usalama wako kila baada ya kama km 100 na "vitochi" na mwendo wa mabasi yetu huwa si mkali kivile. Hivyo mie napingana kabisa kwamba sababu kuu ya ajali ni mwendo kasi.

Sababu niionayo mie ni miundombinu yaani barabara zetu. Mtakubaliana na mimi kwamba barabara zetu ni nyembamba mno na hivyo inapotokea hitilafu yoyote dereva hana namna ya ku manouvre na hivyo hujikuta nje ya barabara. Laiti kama barabara zingekuwa pana kiasi naamini ajali zingepungua.

Sababu nyingine ni regulators wa usalama barabarani kutokuwa makini. Kila mwaka huwa kuna wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambapo kila gari linatakiwa kukaguliwa barabara ili kuhakikisha kama linastahiri kuwa barabarani. Hii haibagui kama ni la abiria au binafsi. Mtakubaliana na mimi kwamba kama zoezi hili lingekuwa linafanywa kwa ufasaha magari mabovyote yangebaibishwa na kutoruhusiwa kutembea barabarani. Lakini kwa sababu vyombo vyetu haviko makini, nadhani mnaelewa kinachoendelea.

Naweza sema kwamba wiki ya nenda kwa usalama ni mradi wa kukusanya mapato kwani stika huuzwa bila ya hata kukagua gari.

Kama vyombo vingekuwa makini, naamini magari mabovu kila mwaka yangekuwa yanabainishwa na kutoruhusiwa kufanya safari ikiwa na ya abiria au ya binafsi.
 
wamekufa watatu , 51 majeruhi gari lilipasuka tairi la mbele . Source Rpc arusha . andengenye

hivi hayo mabasi mmiliki wake ni binadamu au ni jini? manake ajali zimekuwa too much sasa.
..........ama yanatumia damu? kuna haja ya ewura kuangalia wanaokwepa kutumia diesel na
kutumia blood. RIP watanzania wenzetu...
 
Tatizo serikali iko mikononi mwaWENYENAZO na hivyo kushindwa kusimamia sheria ipasavyo.Kwani magari yanapozinaisha biria na kwenda mwendo usitakiwa Polisi hawaoni?Je, madereva wangapi wamepelekwa mahakamani kesi zikafutwa kwa kukosa ushaidi japokuwa ndugu na jamaa zetu wamekufa?Machozi hunitoka hasa ninapokutana Polisi wanachukua miatano na kuacha madereva wakifanya watakavyo barabarani.Utawala wa sheria na uwajibikaji uko wapi?
 
Jamani poleni watanzania wenzangu mliokumbwa na hiyo ajali, tunawaombea kwa mungu majeruhi ili afya zenu zirudi katika hali yenu ya awali ili tusaidiane kulijenga taifa hili, sina wa kumlaumu kwa kuwa sijajua chanzo cha hiyo ajali.

PIA NAWAOMBA HAWA WADHIBITI WA HIVI VYOMBO WASIWE WANAZUIA SAFARI BAADA YA AJALI INA MAANA UCHUNGUZI KABLA YA AJALI HAUFANYWI?.. INASIKITISHA SANA MAISHA YA TUNAOTEGEMEA PUBLIC TRANSPORTATION YANAVYOCHEZEWA.
 
Kuna ajali ya basi la nyagawa imetokea kama km 10 kutoka iringa mjini,chanzo ni tairi kupasuka na basi kupoteza njia na kupinduka sijapata taarifa ya majeruhi au vifo kwa sababu na mimi niko kwenye basi
 
Mmm,kazi kweli kweli.Mara miundo mbinu,mara mwendo kasi.Fungueni macho muone mtakwisha.Upofu huo mpaka lini?
Sasa tuone kama na hili litafungiwa maana championi tayari wamefungiwa. Ukiuliza wengi wetu utaambiwa chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Mie pia ni mpanda mabasi haya yaendayo mikoani na wakati mwingine huwa natumia kamkoko kangu siku mojamoja wakati wa likizo kuelekea kijijini kwetu. Mie natofautiana na wanaohukumu kuwa sababu zote za ajali ni mwendo kasi. Mie nakataa. Kwa kipindi chote ninachokuwa naelekea kijijini I swear upon God hakuna basi hata moja huwa linakatiza mbele yangu. Hadi nafika Mbeya. Si upendo wala basi lolote linanipita. Si kwamba najigamba ila nataka kueleza kuwa gari hizi za kisasa zinatengenezwa ili kuhimili speed iliyowekwa. Kwa mfano mabasi mengi huenda hadi speed 120 kwa saa bila wasiwasi wowote.
Nionavyo mimi ni kuwa makini kwa maan ya kuwa na uhakika na uzima wa gari hasa matairi, breki na vifaa vingine kwa maan kuliweka gari tayari kwa safari. Kwa wale wanaosafiri kwenda dodoma au sehemu yoyote kama moro au arusha, askari wa usalama wako kila baada ya kama km 100 na "vitochi" na mwendo wa mabasi yetu huwa si mkali kivile. Hivyo mie napingana kabisa kwamba sababu kuu ya ajali ni mwendo kasi.
Sababu niionayo mie ni miundombinu yaani barabara zetu. Mtakubaliana na mimi kwamba barabara zetu ni nyembamba mno na hivyo inapotokea hitilafu yoyote dereva hana namna ya ku manouvre na hivyo hujikuta nje ya barabara. Laiti kama barabara zingekuwa pana kiasi naamini ajali zingepungua.
Sababu nyingine ni regulators wa usalama barabarani kutokuwa makini. Kila mwaka huwa kuna wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambapo kila gari linatakiwa kukaguliwa barabara ili kuhakikisha kama linastahiri kuwa barabarani. Hii haibagui kama ni la abiria au binafsi. Mtakubaliana na mimi kwamba kama zoezi hili lingekuwa linafanywa kwa ufasaha magari mabovyote yangebaibishwa na kutoruhusiwa kutembea barabarani. Lakini kwa sababu vyombo vyetu haviko makini, nadhani mnaelewa kinachoendelea. Naweza sema kwamba wiki ya nenda kwa usalama ni mradi wa kukusanya mapato kwani stika huuzwa bila ya hata kukagua gari.
Kama vyombo vingekuwa makini, naamini magari mabovu kila mwaka yangekuwa yanabainishwa na kutoruhusiwa kufanya safari ikiwa na ya abiria au ya binafsi.
 
Gari ni T 871 BRB Escudo nyeusi imesababisha ajali mbaya sana imeigonga gari ndogo njia panda na kusababisha gari ile dogo kusoge katikati ya barabara na kubamizwa na gari kubwa!please wadau jamaa anaweza kupatikana maana kakimbia!
 
WanaJF haabari zenu! Nimeshuhudia ajali mbaya sana ya gari aina ya Lori mnamo saa 07:36am Maeneo ya Puma karibu na Hospital ya Malikia wa ulimwengu-Singida! Lori ilikuwa ikielekea mnadani ikiwa na wajasiriamali takribani sabini! Bado haijajulikana mauti yamewapata wangapi ila hali ni mbaya mno! Namshukuru Mola kwani ilikuwa ituangukie wakati tunatakaka kupishana nalo!
Nawakilisha!
 
Huu ni mwezi wa ajali nini?
Mwenyezi Mungu tuepushe na pepo la mauti.
Poleni waathirika!
 
Kwa kweli inasikitisha kuona Watanzania wenzetu makiendelea kuteketea kila siku kwa majanga ambayo yanazuilika, it is now high time kwa kila mdau wa sekta ya usafiri kuwajibika ipasavyo. Kuanzia na sisi abiria wenyewe (Maana naona kuna watu wako likizo). POLA KWA WAHANGA.
 
Back
Top Bottom