Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Jamani tunaisha sasa khaa! Hawa madereva vp jamani lakini kila ck ajali2? Hivi jamani c kuna mkuu wa polic wa usalama barabarani? Jamani tusaidiane kupunguza hizi ajali dah!
 
Inasikitisha. Serikali inapofanya juhudi kutengeneza barabara nzuri na za kisasa, madereva wanazitumia vibaya na kusababisha maafa. Huko nyuma wakati barabara zilipokuwa za changarawe ajali hazikuwa nyingi kiasi hiki.

Wito: Kuboreshwa kwa barabara kusiwe chanzo cha mwendo kasi holela......hili ndilo la kukemea.
 
Wao na watoto wao huwa hawapandi mabasi yetu ya kimaskini,wao wanakodi ndege na kulala first class kama sivyo atapanda VX mayai yake ili awahi kufika na asichoke njiani,ikiwezekana Ngeleja ataazima la Gairo ili azunguke kwenye makasino,sisi maskini ndo tunakufa na hili yafaa likaitwa janga la kitaifa
 
madereva wengi wanoendasha magari ya abira ni bangi tupu. Mfano daladala hapa dar. Sheria zinasiginwa hakuna anaejali
 
Jaman watanzania tunakwisha. Leo mida ya asubuhi basi la campuni ya Muhamed trans la ARUSHA-MWANZA Limepata ajali maeneo ya MAKUYUNI. Watu wengi wamejeruhiwa vibaya na wengine wamefariki. Kwa macho yangu nimeshuhudia majeruh walipoletwa hospitali ya mko Arusha(mount meru hospital). Hata kama una roho ya namna gani ni lazima mtu utokwe na machozi kwa hali waliyokuwa nayo. Chondechonde watanzania,tuombee majeruhi.


mabasi ya hawa tunaowaita ndugu zetu (waarabu) yatatumaliza
 
kila siku tunasikia ajali tu juzi Champion leo Mohammed Trans hiki ni nini jamani??????????????????????
 
pole kwa waliojeruhiwa, Mwenyez awape nafuu mapema.. Jaman vyanzo vya ajali vingi vinazuilika kama ulev, kutojali na madereva kutokuzingatia maadili ya kazi zao,alama za barabaran kutozingatiwa au kutokuwepo nk. Lakn kila mtu akitimiza wajibu wake, hope tutaokoa maisha ya waTZ Wengi wasio na hatia
 
Maoni yangu,ingetakiwa basi la kampun fulani ikisababisha ajali hy kampuni inafungiwa nadhani hii itasaidia wawe makini alitle bit.
 
Hata mimi nadhani cha kwanza ni uendeshaji wa madereva, mbovu sana, we angalia kwenye daladala tu, ukijifanya unasema kitu wanakuja juu. Pili baadhi ya abiria tunachangia ajali kwani kuna tunaoshabikia mwendo mkali na utakuta abiria tunabishana wengine wasema acha dereva aendeshe usimfundishe kazi na wengine aaah bwana speed kali mno tunawahi wapiii? hapo utakuta dereva hata hajachangia lkn tayari abiria hawaelewani. Tatu baadhi ya madereva hawataki kukososlewa uendeshaji wao, wakidhani wao ndo waliokabidhiwa dhamana ya gari then, kila kitu ni juu yake na si vinginevyo. Mwisho naomba kuuliza hivi zile leseni mpya lengo lake lilikua nini hasaaaa? C kupunguza ajali kwelii??????????????
 
Poleni sana wafiwa wote pamoja na majeruhi
 
Rip marehem wote majeruh poleni saaana,migari yao haina service, matair vipara, madereva wkt mwngne wanaamka na pombe yaani hawajali kabisa utadhani wanabeba viaz mbatata kumbe ni roho za binadamu inaumiza sana asee
 
Wafiwa poleni, majeruhi tunawaombea mpone haraka.

Hii kitu ya ajali haitakwisha mpaka pale kitengo chote cha usalama barabarani kitakapovunjwa. Askari wote wa usalama barabarani wameenda pale kuvuna hela na wala sio kusimamia usalama barabarani.

Wengi wako kazini kama robots kuchukua hela za madereva na kuwaachia hata kama wanamakosa na dhamira zaohaziwasuti kuwa basi ulichukua hela nusu saa iliyopita limeua watu. Kwa sababu ni robots watakuambia mwendo kasi lakini toka tumeanza hii kitu ya mwendo kasi haijapa dawa mpaka leo?

Tuweke MPs ( askari wa jeshi ) wachukue jukumu hilo baada ya kitengo cha traffic kuvunjwa. Hawa wana nidhamu na maadili sio hawa wengine ajali zitaendelea na jibu litakuwa mwendo kasi wa dereva.
 
Ajali hizi zitatumaliza...poleni sana wafiwa na majeruhi muugue pole.
 
Inasikitisha. Serikali inapofanya juhudi kutengeneza barabara nzuri na za kisasa, madereva wanazitumia vibaya na kusababisha maafa. Huko nyuma wakati barabara zilipokuwa za changarawe ajali hazikuwa nyingi kiasi hiki.<br />
<br />
Wito: Kuboreshwa kwa barabara kusiwe chanzo cha mwendo kasi holela......hili ndilo la kukemea.
<br />
<br />
Wewe ni masaburi tena yaliyo na irregular shape.
 
Waarabu wanatutoa kafara kila kukicha,TRAFIKI NAO HAWAKAGUI MAGALI wanakagua posho tu kwa wenye magali.
 
Ndani ya kipindi kisichozidi wiki moja tumepoteza watu zaidi ya 20 kwa ajali za mabasi....ilianza Simba coach,ikafuata nyingine Mbamba bay,juzi Champion leo mohamed trans...mamlaka husika kimya
 
kuna kitu hakiko sawa miaka ya nyuma ajali zilikuwa ni dar express na air msae miaka hii ni champion na mohammed trans, iko kitu nadhani maombi yanatakiwa zaidi,ukiongea madereva wanakueleza wanakutana na mambo ya ajabu sana njiani kwa mtu wa kawaida huwezi kuona, dereva mmoja wa basi la tayasari alisema wenye magari wana mambo makubwa ya kishirikina kwani wanaamini bila ushirikina biashara zao haziendi hivo damu za abiria ndio mshahara wa hayo majini yao wanayomiliki, sikuamini na haingii akilini ila jaribuni kutafiti.NIMESIMULIWA pia ajali iliotokea mwaka jana ikihusisha basi fulani linaloenda rombo dar ilikuwa liuwe wengi bahati nzuri kulikuwa na waumini wanasali ili safari yao iwe salama tunguli za mwenye gari zikashindwa kufanya kazi hakuna aliekufa ktk ajali hiyo.
 
Reset In Peace!!!!!!! Na poleni majeruhi tukizidi kuombeana mpone mapema.
 
Back
Top Bottom