Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

hbu vuta pumzi afu uandike tena habari hii kwa ukamilifu mana umeileta kwa dana dana tu................news haina OBJECTIVE
 
mabasi ya TRC aka Relwe, hayapo sasa, yalikuwa yanaendeshwa na wazee wa miaka 55 na zaidi. Kipindi hicho ajali za mabasi zilikuwa msamiati! Pole kwa wafiwa na taifa kuendelea kupoteza raia wake safarini.
 
Clouds Fm, wametanganza hiyo ajali, basi lilikuwa linatokea Njombe kuelekea Dar mpaka sasa hivi maiti 5 zimepelekwa hospitali na majeruhi 20.
Baadhi ya maiti bado zimebanwa na basi
 
usafiri gani sasa unaaminika? Majini ni ajali, Barabara ndiyo usiseme, Pikipiki hatari tupu, Bajaji hatari -- tukimbile wapi? inafikia hatua siku moja kabla ya kusafiri unatoa wosia kabisa. Anga kidogo kuna usalama lakini bei hatuiwezi ku afford wote na usalama wa usafiri wa anga ni kwa sababu unaangaliwa na international agency vinginevyo watu pia tungepata tiketi za kusimama na kulipa nusu nauli.

This is serious guys:
 
Clouds Fm, wametanganza hiyo ajali, basi lilikuwa linatokea Njombe kuelekea Dar mpaka sasa hivi maiti 5 zimepelekwa hospitali na majeruhi 20.
Baadhi ya maiti bado zimebanwa na basi

Convergence! Source ya JF inaweza kuwa Clouds FM?
 
Yan jmn hawa watu wa humu jf wanatabu yan me nimetoa habari halaf wanaanza kunishambulia
 
Basi sijui ilaitwa glacier or someting lilikua linatoka njombe kuja dar,ajali imetokea mbele kidogo ya mikese,yan dereva alikua anaendesha kama kichaaa, nahisi alikua amelewa maaana sijapataona alitaka kutupiga overtake na gari lipo mbele yetu tukakwepa tukaa pembeni akatupita, tumekuta kaua watu jamani ts sad
jamani hao abiria uko kwenye basi kwanini hawakumgomea? this is too much, watu wanachinja wenzao kama ng'ombe jamani, hawathamini roho za watu hata kidogo! halafu utaskia dereva amekimbia na hajakamatwa, nina hasira sana. Hatuwezi kuwa tunasema "tumwachie Mungu", mambo mengine kwakweli tunamsingizia tu Mungu.
 
Hivi morogoro kuna nini kwani???? mbona ajali kila siku morogoro....this is too much!!!1
 
Na fundi umeme kanaswa na umeme kwenye nguzo afrikana amefariki hapo hapo na wameshindwa kumtoa
 
Mleta habari mwenyewe ni hajali kwa nchi. Omba kabisa Sheni na Jk watangaze msiba wa kitaifa siku 3 na bendela ipepee nusu mringoti, mmiliki wa gari aombe radhi kwa kumiliki gari. Aaaghh...!!!
 
hawa watu wa mabasi mida mingine inatoa kafara aiseee!
 
Innalillah wainaillah rajiun!madereva wazembe na barabara mbovu chanzo cha ajali tanzania.Tusubiri bla bla za sumatra
 
ajali ni kitu kibaya... sasa hapo viongozi wanaingiaje??? nahisi kuna siku utajikojolea nyumbani halafu usingizie viongozi wetu

too much politiking sasa
 
maskini weee alijua umeme umekatika eeeeh kumbe Ngeleja kaurudisha bila taarifa.............poleni sana wafiwa
Na fundi umeme kanaswa na umeme kwenye nguzo afrikana amefariki hapo hapo na wameshindwa kumtoa
 
Gari gani? Ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi? kama haujui hilo futa thread yako kwa kuwa haina msaada kwetu

Tumia akili zako, mtu mzima hauna akili, wewe unasikia kuna ajali imetokea, kuna maiti wapo chini yeye alikuwa kwenye gari dogo, kwani ni lazima kujua ni gari gani
 
Back
Top Bottom