Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Bila kusahau mwezi wa tatu Sumry toka Mtwara liligongana na Gari dogo na kuua watu wanne...
 
ajali.jpg

SUMM.jpg

Mabaki ya basi la Sumry lililopata ajali na kuua watu zaidi ya 15 eneo la Igawa mkoani Mbeya yakiwa yanaondolewa eneo la tukio huku basi hilo likiwa limefunikwa ili kukwepa picha.
iphone+video+jose+007.JPG
 
Mungu alaze roho za marehemu mahali pema peponi. Na majeruhi wapone haraka.

Kama hili basi linapata ajali kila mwezi sehe$u tofauti tofauti za route yake kwa nini bado linakuwa njiani?kwa nini authority hazioni kuna walakini katika kampuni hii? Linapaswa kufungiwa kabisa leseni yake ya biashara bila hata kuuliza maswali mara mbili.
 
JS.....nadhani humu ndani kuna thread inayozungumzia kuhusu haya magari kwa nini hayasimamishwi.....ningeweza kuipata ningekutundikia.......kuna msururu fulani hivi wa mambo.....BTW....kwa nini siku hizi umepotea sana hivyo lakini?
 
NIjuavyo ajali zinapokuwa ni za mara kwa mara-tena zikihusisha kampuni moja/hiyohiyo-kama ni ya ndege-basi lazima hizo ndege wazi-"ground" na kuzifanyia uchunguzi wa kina
So kwa mfano huo-nilitegemea serikali nayo ingesimamisha kampuni ya sumri-na kufanya uchunguzi juu ya magari yake,ili wajue ni sababu gani yanapata ajali kila kunapokucha-maana sasa yanapoteza maisha ya wananchi
 
poleni wote waliopatwa na msiba huo na majeruhi wote mungu awaponye inasikitisha sana kwakweli
 
Yaani huyo hafai Msikitini, Kanisani hata chini ya mti au ndani ya pango, yani maiti yake inafaa itupwe chooni coz baharini atawatia najisi samaki na kaburini atatia najisi rutuba ya ardhi.

Na chooni atawatia najisi wale funza..!
 
NIjuavyo ajali zinapokuwa ni za mara kwa mara-tena zikihusisha kampuni moja/hiyohiyo-kama ni ya ndege-basi lazima hizo ndege wazi-"ground" na kuzifanyia uchunguzi wa kina
So kwa mfano huo-nilitegemea serikali nayo ingesimamisha kampuni ya sumri-na kufanya uchunguzi juu ya magari yake,ili wajue ni sababu gani yanapata ajali kila kunapokucha-maana sasa yanapoteza maisha ya wananchi

http://1.bp.blogspot.com/-Bx65C2ZF0a8/Tck_ZGNZeuI/AAAAAAAAC4E/sbt3EdfbOz8/s1600/ajali+ii.jpg
 
Bila kusahau mwezi wa tatu Sumry toka Mtwara liligongana na Gari dogo na kuua watu wanne...

Nyingine hii hapa,imetokea jana.Kila mwezi jamaa lazima watambike........

Ndugu , Habari za Uhakika toka Kasulu Basi la Sumry lililokuwa linatoka Kigoma kuelekea Arusha limepata ajali jana asubuhi na kuua huko kasulu.Habari ni confirmed kwa sababu mm mwenyewe nimepoteza jamaa yangu aliyekuwa anaelekea Arusha. Majeruhi na Maiti walipelekwa jana hiyo hiyo na Ambulance kwenda Hospitali ya Maweni Kigoma.Idadi ya vifo na majeruhi sikuweza kuulizia kwa sababu nilichanganyakiwa na Kumpoteza jamaa yangu. Wenye taarifa zaidi watafafanua.​

mkuu hii sio breakingnyuzi yaani ukitka uamini subiri miezi 4 ipite kama ujaja na breaking n nyingine
 
Back
Top Bottom