Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

ndg zangu basi la sumry limepata ajali mbaya eneo la same ,bas limegawanyika vpande viwil.
Hivi kutuambia tu basi limegawanyika into 2pcs,badala ya kutujuza the number of deaths or injured inatusaidia nini? Mm nafikiri roho za watu comes first na siyo hiyo mijichuma
 
Kuringe! Hii taarifa uliyo2pa ya basi kupata ajali ilikuwa na maana gani? Mbona hau2pi idadi ya majeruhi na hata number ya gari ina maana gani lakini? Utafikiri ndiyo kwanza unaingia jamvini Best. Lete habari zenye kusomeka kaka.
 
Someone has completely missed out my point. My very intention was to express my sympathy towards any pro-CHADEMA adherent involved in the tragedy. I don't behave such fatuously to celebrate someone's death as it is utterly inhuman, regardless of their ideologies.
A devil worshipper in Action! Death to CCM.
 
Someone has completely missed out my point. My very intention was to express my sympathy towards any pro-CHADEMA adherent involved in the tragedy. I don't behave such fatuously to celebrate someone's death as it is utterly inhuman, regardless of their ideologies.
It does not need one to be well versed in hermeneutics to discern what you wrote, leave alone any intended implications.
 
Wamekufa wangapi, wana CHADEMA wamo humo. Nadhani hiyo ndiyo ndiyo habari

....????? woman ize r hamna habari mbaya kama za kifo, nashangaa wewe ndo unaleta
jokes na kebehi katika majonzi,.. hujafa hujaumbika....
 
Poleni wandugu,,ila cjapenda jokes mbele ya maumivu ya kupoteza ndugu zetu.!!Siku yako inakuja,,utaomboleza peke yako.!
 
Someone has completely missed out my point. My very intention was to express my sympathy towards any pro-CHADEMA adherent involved in the tragedy. I don't behave such fatuously to celebrate someone's death as it is utterly inhuman, regardless of their ideologies.
Peleka uongo wako huko, wewe katika watu wajinga na wewe upo, kama kaka au ndugu yako yuko humo na hujui ingejisikiaje ukiambiwa amefariki kutokana na ajali hiyo?
 
Hawa sumry sasa to much hata kama ajali hazina kinga. Lakin si nasikia kuna gamba lina hisa. Anyway tumuombe mungu awaponye majeruhi
 
Nimeamini kwny msafara wa mamba kenge hawakosekani.HUNA AKILI hata kidogo
Uliyosema ni kweli Mkuu!Watu wengine wanakera sana.....Tena hata kenge ana nafuu...huyo ni Mjusi kabisa ambae nae huwepo kwy msafara.Achilia mbali AKILI kidogo, nahisi hata kichwa hana!
 
....????? woman ize r hamna habari mbaya kama za kifo, nashangaa wewe ndo unaleta jokes na kebehi katika majonzi,.. hujafa hujaumbika....
Yaani huyo hafai Msikitini, Kanisani hata chini ya mti au ndani ya pango, yani maiti yake inafaa itupwe chooni coz baharini atawatia najisi samaki na kaburini atatia najisi rutuba ya ardhi.
 
Picha, idadi ya vifo, majeruhi na chanzo cha ajali kama hutojali

[h=3]BASI LA SUMMRY LAPATA AJALI MAENEO YA SAME KILIMANJARO ASUBUHI YA LEO[/h]


Basi la Summry Leo Limepata ajali maeneo ya same kilometa mbili kutoka standi ya same wakati likiwa linatoka Arusha Kuelekea Mbeya Asubuhi ya Leo Na Watu Watatu Wanakadiriwa Kupoteza Maisha Papo hapo

Hivi Ndivyo Basi La Summry linavyoonekana Mara baada ya Ajali hiyo Kutokea Majira ya Saa Nne asubuhi Maeneo Ya Same Kilometa Mbili Kutoka Standi Sababu ya Ajali hiyo Mpaka Sasa Haijajulikana. Katikati ya Viti Hivyo Viwili ni Kichwa Cha Mwanamke ambaye Jina lake halikuweza kufahamika Mara Moja. Tutaendelea Kuwajuza kadri zinavyozidi kutufikia habri hapa
 
Hii hapa ni ile ya Morogoro ilikuwa tarehe 6 mwezi nne mwaka huu


BASI%2BLA%2BSUMRY%2BPIX%2BNO%2B2.JPG

MABAKI%2BYA%2BPICKUP%2BPIX%2BNO%2B3.JPG

Mabaki ya gari dogo aina ya Pick-up liligongana uso kwa uso na basi la Sumry (picha ya kwanza juu) kikjijini Maseyu mkoani Morogoro katika barabara ya Iringa juzi. Watu watatu walikufa katika ajari hiyo na wengine walijeruhiwa


3574730711324459854-722952357716734080
 
BASI LA SUMRY KAMA LINAVYOONEKANA
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Hili ndilo basi la Sumry likifunikwa na wafanyakazi wa Sumry fasta fasta baada ya kuona timu ya wandishi wa habari ikisogea eneo la Tukio[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]ASKARI WA usalama barabarani akikagua sehemu ya mabaki ya basi hilo baada ya kunyofoka kwa front excel. Hii ilikuwa ni Mwezi wa Tano Mwaka huu huko Mkoani Mbeya[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[h=3][/h]Hii ilikuwa ni mwezi March mwaka huu huko Sumbawanga.Ni kama kila mwezi lazima itokee ajali ya Sumry

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom