Polisi trafiki nusura watolewe roho leo na wananchi wenye hasira baada ya kusababisha ajali eneo la Kunduchi JKT - Suma njia ya kwenda Tegeta na kusababisha watu watano kufa papo hapo na wengi kujeruhiwa.
Kama si kukimbilia ndani ya eneo la JKT leo ingekuwa mwisho wa habari yao.
Trafiki hao walisababisha ajali baada ya kusimamisha magari kwa fujo pasi na kuchukua tahadhali kama ilivyo kawaida yao eneo hilo.
Ajali hiyo imehusisha magari matatu, gari lililobeba chupa na kreti za bia, basi la abiria - DCM na gari ndogo saloon
Habari zaidi baadae...