Una uhakika??Matajiri wa Sumbawanga ni noma, biashara haichanganyi bila damu ya watu
Mkuu, hii aina shida jukwa la siasa ndio sehemu wanatembelea watu wengiAsante kwa taarifa.......japo hapa ni jukwaa la siasa
Wamekufa wangapi, wana CHADEMA wamo humo. Nadhani hiyo ndiyo ndiyo habari
Wamekufa wangapi, wana CHADEMA wamo humo. Nadhani hiyo ndiyo ndiyo habari
kwa mida aliyo ripoti litakuwa linatoka Arusha - Mbeya au Dodoma maana ndiyo yanaondoaka Arusha mapema...Tujuze kwa ukamilifu; bus lilikuwa linatoka wapi, kama umefanikiwa kujua idadi ya majeruhi na hatua ambazo zimechukuliwa mpaka sasa katika kuokoa maisha ya ndg zetu tafadhali.
Wamekufa wangapi, wana CHADEMA wamo humo. Nadhani hiyo ndiyo ndiyo habari
Mwenyewe nimemshangaa,watu wengine sijui wanaakili za namna gani jamani!!!.Eti huyu ni kiongozi wa chama mwenye ID 7.Kweli unaweza kuchangia upupu kama huu kwenye ajali????
acha ubishi na wewe unakuwa kama mgeni tz sumba-wanga.Una uhakika??
Usijibaraguze kwa kujifanya ulikuwa unatoa pole. Umeharibu ndugu! We omba samahani yaishe tu!Someone has completely missed out my point. My very intention was to express my sympathy towards any pro-CHADEMA adherent involved in the tragedy. I don't behave such fatuously to celebrate someone's death as it is utterly inhuman, regardless of their ideologies.
Someone has completely missed out my point. My very intention was to express my sympathy towards any pro-CHADEMA adherent involved in the tragedy. I don't behave such fatuously to celebrate someone's death as it is utterly inhuman, regardless of their ideologies.