Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Ajali mbaya imetokea mikumi ikihusisha gari aina ya costa na lori ambapo wasanii zaidi ya kumi wa bendi moja ya taarabu (sikusikia wakati ikitajwa) wamefariki wakiwa njiani kurejea dsm. Source radio one breaking news.
 
Human being is a political animal. Taarifa zinasema ni five star modern taarabu.
 
Dah! May the souls of our departed brothers and sisters rest in eternal life. Amen. My Condolense to the family members.
 
Ni wasanii wa KUNDI LA 5 STARS MODERN TAARAB. Mungu awarehemu walipoteza maisha na awape nafuu majeruhi
 
Five Stars Modern taarab wapata ajali mbaya



Kundi la Five Stars Modern Taarab limepata ajali mbaya sehemu za Mikumi wakiwa safarini kutokea Songea. Inasemekana ajali hiyo ilitokea baada ya basi dogo walilokuwemo wasanii hao kugonga roli lililokuwa limeharibika. Wasanii 7 akiwemo mpiga solo Sheba Juma, Nassoro Madenge, Husna Mapande na Issa Kijoti, inasemekana wamefariki wakati wengine ni mahututi na wamekimbizwa Morogoro. Kundi hili lililokuwa linajulikana pia kama 'Watoto wa Bongo' lilizinduliwa Msasani Club tarehe 29 July 2009. Tunaomba Mungu awalaze pema wote waliofariki na awanusuru waliojeruhiwa
Five Stars siku ya uzinduzi wa kundi lao Wapiga magita wa Five Stars, Musa na Sheba
Wanamuziki wa Five Stars Watoto wa Bongo
 
Taarifa zisizo rasmi zinasema Waliokufa ni pamoja na Isa Kijoti, Nasoro kiongozi bendi, Ramadhani, na Mwimbaji mmoja Aitwaye Husna. Waliopona yumo Zena na Mwanahawa Aly wa Melody ambaye hajambo japo alikuwapo, .......
 
Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi~AMEN, na awape nguvu na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao. Hizi barabara za Bongo! Mhhhhh!
 
Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba uzilaze roho za Marehemu mahali pema peponi,,, Amina.
 
Wasanii 13 wa kundi moja la taarabu wamekufa hapo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Kyela (Hiace) kugongana uso kwa uso na Lori lililokuwa limebeba mbao na limeharibika maeneo ya Doma Morogoro
Source: Ebony FM
 
Back
Top Bottom