Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

members JF!
Nimepigiwa simu na rafiki yangu aliekua anakuja Dar kwa usafiri wa bus la Allys asubuhi hii saa kumi na mbili limegongana na lori la kampuni ya vinywaji ya coca cola maeneo ya usagara karibu ya round about. Wakaletewa bus jingine kwa wale hawakuumia zaidi ili waendelee na safari.
Rafiki yangu ameumia maumiv makali ameshindwa kuendelea na safari...ameenda hosp.
Wenye habar zaid watuwekee!
 
Not clear, bus linatoka wapi na linaelekea wapi? Usagara ya wapi?
 
Nimepita hapo sijaona dalili za kasheshe hilo. Niliangalia sana kwani nilisoma habari hii nikiwa ofisini. Nilianza kuangalia tokea Bucha hadi Kimara Mwisho sikuona kama kuna mahali kulikuwa na ksheshe hilo

kumbe zile picha ni za wapi?
 
Asante sana SMU pole nyingi kwa wafiwa wote na majeruhi wapone haraka
 
kumbe zile picha ni za wapi?

Nimeelewa ni Bahama Mama ambayo ipo nyuma mimi nilianzia kuangalia kwa Makini Kituo cha Kimara BUcha ambapo Korogwe ipo kati yake na Kimara Mwisho. Sikuona ndo maana nikaaandika hivyo jana usiku. Hata hivyo kwenye MAgazeti wanasema ni Bahama mama na siyo Korogwe
 
EE Mungu wasaidie jamani, inasikitisha sana, poleni sana
 
Hapo Korogwe pana ajali nyingi sana za ajabu, kunacku nilishuhudia love 4 ikitenda maajabu iliruka toka upande mmoja kwenda wa pili na kusababisha ajali mbaya sana!

Hilo ni eneo ambalo wanalipenda sana wale wakina shehe Yahaya.msikule hiyo na mlichoona ni kiini macho watu wameshatolewa kafara.
 
Bismillah Rahmani Rahim. Mwenyezi Mungu tunakuomba uwalaze pahala pema marehemu na uwaponye majeruhi wapate nafuu na pia tunakuomba utuepushe na ajali na mabalaa yote Tanzania. AMIN.

inalillah,wainaillah rajiuun
 
Kuna habari kuwa basi la Ally"s toka Kahama kuja Dar limepata ajali Dodoma na limeua watu.
Mliopo karibu na Dom tujuzeni kinachoendelea.
 
Watu 2 wamekufa papo hapo na wengine 20 wamejeruhiwa baada ya bus la kampuni ya Allys kugongana na bus dogo aina coaster maeneo ya kizota mkoani Dodoma. RADIO1
 
Kuna basi lilikuwa linafanya safari ktk dar kwenda Tanga limepata ajali muda sa mrefu maeneo ya pingo,limejeruhi na kuua majeruhi wa tumbi,natafuta jina basi
 
Kuna basi lilikuwa linafanya safari ktk dar kwenda Tanga limepata ajali muda sa mrefu maeneo ya pingo,limejeruhi na kuua majeruhi wa tumbi,natafuta jina basi

Hao majeruhi wa Tumbi walikuwa kenye basi au wamesimama barabarani?
 
Majeruhi wa ajali wako tumbi basi lilikuwa linaenda lushoto
 
Kweli hiyo ajali imetokea,kuna abiria kwenye hiyo ajali amekatika mikono yote miwili
 
Rip marehem wote na wagonjwa majerui wapone
kuna basi lilikuwa linafanya safari ktk dar kwenda tanga limepata ajali muda sa mrefu maeneo ya pingo,limejeruhi na kuua majeruhi wa tumbi,natafuta jina basi
 
Back
Top Bottom