Bora kama wa Fuso amekufa nae
Watu wengine yani kabisa wanaombea wenzao wafe. Hii dunia bwana. Sio fresh...:A S thumbs_down:Mkuu kuwa na huruma angalau. Mnb unahukumu au we hutaonja mauti?
Inatisha, pole kwa wanaohusika
Hapo Korogwe pana ajali nyingi sana za ajabu, kunacku nilishuhudia love 4 ikitenda maajabu iliruka toka upande mmoja kwenda wa pili na kusababisha ajali mbaya sana!