Mwisho wa mwaka shetani yupo kwenye mavuno. Kila mwaka inapokaribia Chrismas na mwaka mpya mambo huwa sivyo ndivyo kabisa. Poleni sana wafiwa.
Mungu ametuepusha na ajali gani wakati unasikia watu wameshakufa?... Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kuwa nasi na kuendelea kutuepusha na ajali.
hiyo landrover mkuu inaweza beba watu 18? Mmmh au ni nini kimefany watu wote wawe involved?
Habari haijakamilika labda.....hiyo landrover mkuu inaweza beba watu 18? Mmmh au ni nini kimefany watu wote wawe involved?