Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Katavi mimi nakumbuka maisha ya kijijini gari kupita kwa siku mara moja, hivyo watu 18 wanaweza kukaa kwenye hiyo gari mfano pale mbele wanakaa 4 pale kati kama ni 5 doors wanakaa 6.Na kule nyuma kabisa wanakaa 10 upande mmoja 5 na mwingine 5. Konda anakaa juu ya kelya je ni wangapi hao?

Sema kweli kunauwezekano aliyetoa hbr haijakamilika ila uwezekano wa watu hao kukaa unawezekana kabisa.
 
Shapu maisha ya Bushi hayo hakuna viti ndio maana imetokea hivyo hata hivyo hao ni wahache

Pengine ilikuwa open nyuma watu wengi wakawa wamesimama. Mmhhh...poleni wafiwa, majerui nawtakia quick recovery.
 
Poleni sana waliojeruhiwa katika ajali, na waliofiwa! kuhusu idadi ya waliokuwepo kwenye land rover, it need not much discussion, kijijini gari dogo linameza watu wengi sana! Kwa mfano, hiace ya 14 psngs can fill in 25-30! Source- Tarime _Musoma route, etc
 
Kuna habari ya kusikitisha kuwa kuna ajali mbaya sana maeneo ya hedaru. Kuna mwenye update tafadhali??
 
Alienipatia habari hii anadai kashindwa hata kupiga picha
 
dah!!! wazee mweney updates zaidi atujulishe s mnajua sasa hivi tunaenda kuhesabiwa
 
Jamani tupeni updates za hiyo ajali.

quote_icon.png
Originally Posted by Mutensa
Updates, watano wamekufa papo hapo.
 
Its true na watu watano wamekufa. Witness wanasema kuna landcruiser na gari nyingine head on. Bus la mtei lilikuta kuna landrover discovery wanashangaa ile ajali kwahiyo ili wasiwagonge kwa nyuma wakwepa Kisha wakapinduka.
 
Mgenifundisha namna ya kupost picha ningetuma ninatumia iPhone
 
Kipande cha barabara kutokea korogwe hadi Same ni kibovu sana . Kina mashimo mengi sana hakijafanyiwa ukarabati muda mrefu. Unakwepa mashimo hadi unashindwa kupishana na magari ukizingatia ni highway.

Leo nilikuwa naendesha gari kutoka dsm kuja moshi. Katika kipandehiki pekee nimekuta ajali sita za kiwango tofauti, kubwa ilikuwa ya prado na landcruiser headon pamoja na basi la Mtei Express. Sijui siku nyingine na muda mwingine ambao sikupita.

Inawezekana gari nyingi zinapata hitilafu za hapana pale lakini zinaendelea na safari. Naomba TANROADS wa hukue hatua haraka iwezekanavyo kuokoa maisha na uchumi wa taifa
 
kaka samahani unaweza kunipa kidogo ilikuwaje hiyo ajali ya prado..taarifa nimepata ucku huu rafiki yangu alikuwa kwenye hiyo prado
 
Back
Top Bottom