Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Kayange, pole sana. Mimi lilipita wakati Mtei imepinduka nikaambiwa prado ziligongana asubuhi.
 
Ni pabovu siku nyingi ndo maana watu hatukuona logic ya kutengeneza chalinze - segera kabla ya korogwe - same!
 
Ni pabovu siku nyingi ndo maana watu hatukuona logic ya kutengeneza chalinze - segera kabla ya korogwe - same!

Je korogwe same haijatengewa bajeti miaka minne iliyopita?Kama imetengewa, zimetumikaje? Sasa hivi serikali ina mpango gani kuhusu hii barabara kuokoa maisha na Mali za watu
 
La kufanya ni kuishinikiza srkl kutatua hili swala, pesa ipo, mbona inaweza kulipa b185 kwa kampun isiyojulikana mmiliki wake. Cjui ni mizimu inalipwa!
 
La kufanya ni kuishinikiza srkl kutatua hili swala, pesa ipo, mbona inaweza kulipa b185 kwa kampun isiyojulikana mmiliki wake. Cjui ni mizimu inalipwa!

Inatia kichefuchefu? Kama wananchi ni wakimbizi nchini kwao?
 
kuna mdogo wangu alikuwa kwenye hilo basi la mtei alitokea Arusha .thanks GOD aliumia tu ..sasa sijui kuwa kaumia sna au vipi..nimeongea naye kwenye simu anadai alibanwa na vyuma na kaeda hospitali wamempa madawa na sasa hivi yuko nyumbani, nimemshukuru Mungu sana . na nampenda sana mdogo wangu wa mwisho ndio anangojea matokea ya form six.
 
kuna mdogo wangu alikuwa kwenye hilo basi la mtei alitokea arusha .thanks god aliumia tu ..sasa sijui kuwa kaumia sna au vipi..nimeongea naye kwenye simu anadai alibanwa na vyuma na kaeda hospitali wamempa madawa na sasa hivi yuko nyumbani, nimemshukuru mungu sana . Na nampenda sana mdogo wangu wa mwisho ndio anangojea matokea ya form six.

pole sana ivuga,i know how yo feeling. Mungu awape moyo wa ujasiri wote waliopatwa na ajali.
 
Poleni sana wafiwa na Mungu awajari nguvu waweze kupona haraka wale wote walioumia....
 
Basi la shabiby ambalo lilikuwa linatoka dar limegongana na deffender 110 maeneo ya Pingo karibia na chalinze
 
Tujuze basi Mkuu! Lilikuwa linakwenda wapi? Je kuna maafa yoyote?
 
Watu wawili ambao wlikuwa kwenye gari dogo wamedead bus halija umizwa sana
 
iNASEMEKANA NI DEFENDER YA MAGEREZA MKOA WA PWANI. ALIKUWEMO DREVA, MKUU WA MAGEREZA MKOA NA BODIGADI, AMBAO WAMEFARIKI
 
Back
Top Bottom