Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Kila basi litakalokamatwa kwa uendeshaji wa kizembe na mwendo wa kasi pandisha bei ya bima, na jina la dereva lidhibitiwe, kwenye kusajili mabasi lazima usajili dereva wako wa basi linalosajiliwa sio kila dereva anaendesha basi hilo.
abiria apewe kifuta jasho kwa kila atakopotowa taarifa ya siri kwa askari ataepokea rushwa(hata kama kupiga picha askari anaepokea)
Faini za mwendo mbaya lazima ifikiriwe tena kwani ni kidogo,
Viwepo vituo vidogo kila baina ya masafa fulani ili kujuwa masafa yale dereva ametumia muda gani, ikiwa ni muda mfupi, ni kosa lazima iwepo adhabu,
Hayo machache mengine yapo njiani