Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Jamani hii avatar ya huyu dada/kaka mimi inanifanya nishindwe hata kuendelea kusoma kila sekunde jicho linaenda kwenye avatar badilisha ndugu tafadhali hata kwa kunionea huruma mimi tu pls.
 
Mi naona tutafute sababu za kisayansi zaidi, hii habari ya kwamba hizi ajali na damu zinazomwagika ni kafara ya uchaguzi wa 2010 na kwamba wakuu wanapishana kuelekea bagaheart kuwaona wazee wawasafishie njia sidhani kama ina mantiki sana!!

Inaweza ikawa kweli..maana wanasiasa wetu wana mambo ya 'kiswahili' sana, lakini je tuta prove vipi? Ni wakati wa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani, Tanroad, madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri na wadau wengine kuangalia kiundani vyanzo vya hizi ajali na kuja na majibu muafaka.
 
Umejuaje kuwa huyu ni mdada/mrembo? Labda ni HE?kuweka avatar ya kike sio lazima mtu awe mwanamke,hata wanaume wanaweka na wanaweza kujiita wanawake kumbe wanaume.
inawezekana nimekosea kumuita mrembo........namuomba radhi kama ni he........... hata hivyo whatever the case bado avata yake iko nanihii sana.....!na wewe charity ni mrembo au kamanda mwenzangu........?
 
........... kwa taarifa za haraka haraka watu wa5 hapo hapo.........HIVI HII JAMANI INAKUWAJE......lazima tujiulize mana ajali ni the same spot na ile ya mwanzo....wanasema mambo ya kiswahili yanashukiwa kuhusika......

Duh! Poleni sana waaanga wa ajali hii. Serikali inabidi irudi kwenye 'ubao wa michoro' kuangalia ni kitu gani cha kufanya kuponya roho za watanzania.
 
Hapo kwenye red... UMENENA Mkuu.

Ndugu uliyeleta hii thread, naomba niungane na wengine wasiopendezwa na Avatar yako, ukweli ni kwamba nimefungua thread yako kwa kuwa Title ni kitu very serious..., nimejikuta hapa ofisini napata Aibu flani kutoka kwa viongozi walioona ni nini nimefungua...... nikaishia kusema virus wengine bwana... at leat kuua so,

in fact, ni nzuri kwako lakini kwa JF si nzuri ki-hivyo, of course najua kila mtu ana uhuru wake hapa, lakini nilikuwa najaribu kufikiri tu .... kwa mfano unamwambia mtu ambaye haijui JF na unamshawishi kuwa ni Forum nzuri sana, anakubali na ku-log on, post yake ya kwanza anasoma ya kwako,. Grirrr
 


Hapa huyu jamaa anatuchanganya...anaeleza habari za ajali wakati avatar inachezEshwa gulio-KATERERO!

PjJ hebu angalia hii avatar kwa chini unaona nini.....mwambie aitoe jamani! hay mambo hayafai hapa....kuna wakulu hapa...
 
Pale wenyewe masuka wanasema kuna mrembo huwa anakatisha gafla ukiminya au ukisema umkwepe basi umekula mzinga.
 
Mamaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ajali tena????????????? mungu isaidie tanzania ni kheri tukafa na mabomu ya kujitoa muhanga kuliko ajali za kizembe namna hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
PjJ hebu angalia hii avatar kwa chini unaona nini.....mwambie aitoe jamani! hay mambo hayafai hapa....kuna wakulu hapa...

Mi sioni tatizo lolote kwenye hiyo avatar unakwazika nn haswa?
Mnashangaa mewata inavyo jimuvuzisha?
 
Pale wenyewe masuka wanasema kuna mrembo huwa anakatisha gafla ukiminya au ukisema umkwepe basi umekula mzinga.

Mmmmh kuna ukweli labda maana haya mambo ya uswahili yametutawala sana.
 
Very bad news...!!! Kuna nini pale jamani? Kunahitajika maombi ya nguvu pale, kwani maombi ni silaha!!
 
something has to be done watu hawawezi kuendelea kufa tu kwa ajili ya sehemu moja kila siku!!inasikitisha!
 
Ajali mbaya ya basi la abiria litokalo Rombo na lori kubwa imetokea asubuhi hii katika daraja la Mto Kifaru wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro. Watu kadhaa wamepoteza viungo vyao.

Habari zaidi ni kwamba njia ya kwenda na kutoka Moshi kupitia kwenye daraja hilo imefungwa na hakuna mbadala. Abiria wote watokao Moshi wamekwama na harakati za kuwaokoa majeruhi zinaendelea.
 
Nashindwa hata la kusema, kila siku ajali tuuuuuuu, Madereva nadhani wana ubia na ziraili mtoa roho
 
Back
Top Bottom