Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
(picha ya Nissana Patrol) chini, Tshirt ya bluu na suruali ya jeans...nashindwa ku'mark.
Twafurahi kukufahamu kama kweli ni wewe
(picha ya Nissana Patrol) chini, Tshirt ya bluu na suruali ya jeans...nashindwa ku'mark.
Mi kinachoniacha hoi ni hii picha ya chini kwenye Nissana Patrol.
Nilipigwa picha bila ridhaa yangu wakati napita, down to my errands!(in blue labelled tshirt)...Mfunyukuzi, plz tell me what is this!...
Mi kinachoniacha hoi ni hii picha ya chini kwenye Nissana Patrol.
Nilipigwa picha bila ridhaa yangu wakati napita, down to my errands!(in blue labelled tshirt)...Mfunyukuzi, plz tell me what is this!...
...Ulikuwa una-craw maeneo nini mkuu naona jeans imepigika magotini mbaya!!(picha ya Nissana Patrol) chini, Tshirt ya bluu na suruali ya jeans...nashindwa ku'mark.
Sura inafanana na mdeni wangu wa zamani. Kumbe ni wewe PJ? Tulipane basi? tehe tehe tehe!(picha ya Nissana Patrol) chini, Tshirt ya bluu na suruali ya jeans...nashindwa ku'mark.
Nimesikiliza morning brekfast asubuhi clouds wanasema kuna ajali imetokea tena kati ya gari dogo na fuso huko kibamba palepale ilipotokea ile ajali ya hiace iliyobondwabondwa na gari kubwa la mafuta mpak ikawa ka chapati sasa leo asybuhi imetokea hii nyingine na kwa taarifa za haraka haraka watu wa5 hapo hapo.........HIVI HII JAMANI INAKUWAJE......lazima tujiulize mana ajali ni the same spot na ile ya mwanzo....wanasema mambo ya kiswahili yanashukiwa kuhusika......
mkuu hapo ujui ni nini ahaa ni kafara zao hawa jamaa kuelekea uchagu tutaona mambo mengi sana mie labda tufunge barabara ya baga heart itakuwaje........... Nimesikiliza morning brekfast asubuhi clouds fm😕 wanasema kuna ajali imetokea tena kati ya gari dogo na fuso huko kibamba palepale ilipotokea ile ajali ya hiace iliyobondwabondwa na gari kubwa la mafuta mpak ikawa ka chapati sasa leo asybuhi imetokea hii nyingine na kwa taarifa za haraka haraka watu wa5 hapo hapo.........HIVI HII JAMANI INAKUWAJE......lazima tujiulize mana ajali ni the same spot na ile ya mwanzo....wanasema mambo ya kiswahili yanashukiwa kuhusika......
asante kwa taarifa mrembo....lakini hii kitu yako wewe unaona iko poa kabisa?dada zetu mmepinda...hii kitu ingefaa zaidi katika lile jukwaa la marie rozi....!!!