acha tu my dear maisha haya mimi baba mimi mama nitapumua wapi mimi? nimeumbwa mateso mimi
first lady, nilikuwa nakuheshimu sana. lakini kwa thread hii, naona kama unashuka kiwango; je? nia yako ni kuwashambulia walokoke au ni nini? unachotaka kutoka kwa wachangiaji nin ini? what is your utmost intention kuleta mada hii? ni kweli kuna mlokole alifanya hivyo au umetunga tu story ili kuwashambulia na kueneza chuki dhidi ya walokole...tafadhali, kama ni kweli sawa, lakini kama si kweli, nakushauri ondoa thread. sisi sote zamani tulikuwa tunawashambulia san awalokole hata kuwa kuwapiga, lakini tumejua ukweli.Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea inakatika,
Ikaita tena ..Ile napokea napokelewa na salam ya bwana asifiwe
OOh nikaitikia kwa amani zote amina na wewe bwana asifiwe.
mala simu ikakatika .
mpendwa akaendelea sasa kubeep nikipiga hapokei ndipo nilipoamua kumtumia sms nikimwambia asinibeep.
Husband akasema piga.
Mlokole kapokea na sauti inatoka kila kona ya nyumba inasikika usiku
ooh nimefunga kwa muda wa week 3 nimeonyeshwa wewe ndo mke wangu mke mwema...najua hunijui sijui naitwa A.....
Naomba upokee maombi yangu...
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nikamwambia lakini mpendwa mbona nimeolewa nina familia tayari huyo roho mtakatifu aliyekuongoza amekosea
Jaribu kufunga tena.
Mlokole akasema ooh ndoa huwa zinavunjika ...
Na yeye yuko tayari kusubiri ndoa yangu ivunjike ili aje kuleta posa..
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????
Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,

Ubungoubungofirst lady, nilikuwa nakuheshimu sana. lakini kwa thread hii, naona kama unashuka kiwango; je? nia yako ni kuwashambulia walokoke au ni nini? unachotaka kutoka kwa wachangiaji nin ini? what is your utmost intention kuleta mada hii? ni kweli kuna mlokole alifanya hivyo au umetunga tu story ili kuwashambulia na kueneza chuki dhidi ya walokole...tafadhali, kama ni kweli sawa, lakini kama si kweli, nakushauri ondoa thread. sisi sote zamani tulikuwa tunawashambulia san awalokole hata kuwa kuwapiga, lakini tumejua ukweli.
Mpendwa kwanza pole. Angalizo!! Kikulacho ki nguoni mwako. Huyu ni mtu aliyetaka kukuharibia ndoa yako alifahamu kabisa mumeo alikuwa anarejea siku hiyo..Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea inakatika,
Ikaita tena ..Ile napokea napokelewa na salam ya bwana asifiwe
OOh nikaitikia kwa amani zote amina na wewe bwana asifiwe.
mala simu ikakatika .
mpendwa akaendelea sasa kubeep nikipiga hapokei ndipo nilipoamua kumtumia sms nikimwambia asinibeep.
Husband akasema piga.
Mlokole kapokea na sauti inatoka kila kona ya nyumba inasikika usiku
ooh nimefunga kwa muda wa week 3 nimeonyeshwa wewe ndo mke wangu mke mwema...najua hunijui sijui naitwa A.....
Naomba upokee maombi yangu...
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nikamwambia lakini mpendwa mbona nimeolewa nina familia tayari huyo roho mtakatifu aliyekuongoza amekosea
Jaribu kufunga tena.
Mlokole akasema ooh ndoa huwa zinavunjika ...
Na yeye yuko tayari kusubiri ndoa yangu ivunjike ili aje kuleta posa..
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????
Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea inakatika,
Ikaita tena ..Ile napokea napokelewa na salam ya bwana asifiwe
OOh nikaitikia kwa amani zote amina na wewe bwana asifiwe.
mala simu ikakatika .
mpendwa akaendelea sasa kubeep nikipiga hapokei ndipo nilipoamua kumtumia sms nikimwambia asinibeep.
Husband akasema piga.
Mlokole kapokea na sauti inatoka kila kona ya nyumba inasikika usiku
ooh nimefunga kwa muda wa week 3 nimeonyeshwa wewe ndo mke wangu mke mwema...najua hunijui sijui naitwa A.....
Naomba upokee maombi yangu...
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nikamwambia lakini mpendwa mbona nimeolewa nina familia tayari huyo roho mtakatifu aliyekuongoza amekosea
Jaribu kufunga tena.
Mlokole akasema ooh ndoa huwa zinavunjika ...
Na yeye yuko tayari kusubiri ndoa yangu ivunjike ili aje kuleta posa..
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????
Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:
UmkhontoweSizwe
Ni kweli imetokea nashangaa kwa nini aliamua kutumia ulokole..
Sikonge kuna mtu anataka kutoa mahari mala ya piliMhhh, dada yangu hii kali sana, tena sana mno, mhhh!!!!!
Yaani Mpendwa AMEFUNULIWA kuwa wewe ndiyo Mke wake na utafunga naye ndoa?
Asije kuwa ndiyo huyu Baba Askofu mshughulikia WAJANE.
Mwambie Shemeji yangu ajihadhari sana kipindi hiki wasije wakam-Nnauye Jr kama ana bahati. Akiwa na bahati mbaya kidogo wanaweza kum-Mwakyembe na kama ana bahati mbaya kabisa basi hata wakam-KOLIMBA.
Wee Mpendwa acha kuwa FISI kwa kuvizia mkono ukatike. Nakumbea kwa SHETANI ili asikukaribishwe huko kwake na ushindwe kabisa kufika wala kuikaribia nyumba ya shetani.
Baba Mpendwa a.k.a. Baba Askofu, acheni watoto wa Wanaume wenzenu tuishi salama na Wake zetu.