Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.

Yule aliyekuwa katibu wa CCM wakati wa Magufuli ndugu zake nakumbuka wakilia na kufanya maombi ili Dr Bashiru apone Covid. Nakumbuka waliweka mpaka prayer line ndugu zake na huyu mwizi wa kura na mnunuzi wa wapinzani alikuwa analia na kutubu sasa katulia tuli. Msijisahau. Mungu yupo

Msije kufikiri kudanganya watu hapa itasaidia au uchawa utasaidia. Mungu metoa nafasi kwa viongozi hawa wasiko jirekebisha watakipata tutawasahau. Mjue Mungu anamtoa Mpango ambaye ni makamu kwasababu ya usafi wake hata Covid yeye alipona na kuanzia hapo ni mpole kweli kweli na ndiyo maana kajitoa anajua hili ni bomu No reform no election naona wengi hamjaielewa bado ni kitu cha imani kuliko ujeshi jeshi

Wote wapenda haki Mungu atawasaidia bila kujali vyama wakina Warioba ni watu wakubarikiwa sana
 
Wamekupaje Platinum member Kwa hiyo Brain capacity yako!!?

Kama mbowe na kesi yake aliiiumbua serikali vile mahakamani hadi wakamtoa Kwa matumizi mengine sembuse mwanasheria nguli!!?

Hauoni no reform no election itaelezwa vizuri mahakamani kuliko hasta kwenye mikutano!!?

Nakiri wazi kabisa washauri wa mama ni mabogus kwepi kweli!mbona comrade nchimbi anammudu sana Lisu kwenye mikutano kwani hatoshi!!?

Ulitarajia nini!!?Lisu nae apige polisi risasi nyingi!!?!?!
 
Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.
Naunga mkono hoja Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

Kama TAL ni mpango wa Mungu,nashauri awe handled with maximum care,asije akaponza watu wakafutiwa vibali!。

P
 
Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.

Yule aliyekuwa katibu wa CCM wakati wa Magufuli ndugu zake nakumbuka wakilia na kufanya maombi ili Dr Bashiru apone Covid. Nakumbuka waliweka mpaka prayer line ndugu zake na huyu mwizi wa kura na mnunuzi wa wapinzani alikuwa analia na kutubu sasa katulia tuli. Msijisahau. Mungu yupo

Msije kufikiri kudanganya watu hapa itasaidia au uchawa utasaidia. Mungu metoa nafasi kwa viongozi hawa wasiko jirekebisha watakipata tutawasahau. Mjue Mungu anamtoa Mpango ambaye ni makamu kwasababu ya usafi wake hata Covid yeye alipona na kuanzia hapo ni mpole kweli kweli na ndiyo maana kajitoa anajua hili ni bomu No reform no election naona wengi hamjaielewa bado ni kitu cha imani kuliko ujeshi jeshi

Wote wapenda haki Mungu atawasaidia bila kujali vyama wakina Warioba ni watu wakubarikiwa sana
Acha upumbavu kufa ni mpango wa Mungu, hata we unaweza usifike jioni ya leo
 
Halafu wengine wako humuhumu
 
Haya majambazi hayajifunzi kabisa
 
JPM sidhani kama anajua kwamba alishakufa - alijiona mwamba eti mkono wa chuma.. Kanyanyasa hadi makada wa chama chake achilia mbali wapinzani ambao aliwaona kama takataka zisizotakiwa kuwepo Tanzania na Duniani
 
Mmekosa vyote maendeleo na uwajibikajl serikali na mmekosa demokrasia.

Kuna wasaa inabidi uchague best alternative, kuliko kukosa vyote.

Nchi inahitaji mabadiliko, lakini Lissu sio solution ya matatizo yanayoikabili Tanzania. Sana sana ataipeleka nchi pabaya zaidi. Ni clueless katika uongozi anachojua ni kulalama tu na kuutaka uraisi for the sake of it.
 
Back
Top Bottom