View attachment 164947
Kisonge hii ni maskani kuu ya ccm jee watu kama hawa hawawezi kufanya unyama wa jana pale darajani. hii maskani ndio ilofanya uhalifu wakasingiziwa uamsho.
maskani hii ya ccm wanaweza kuwa katika list ya washukiwa.
hili ni bango lao la leo asubuhi
Tuliwaambia na mkabisha, marafiki zenu hao toka uarabuni!nothing to say, kazi yenu MAJA-NJAWIDI imefanikiwa....
Kuna kila sababu ya kufikiria kuwa ni Wakenya wafanyayo haya.
Halafu kesho TISS watamwagia padri tindikali ili ionekane ni Waislamu kweli ccm ni hatari nia ya ni kuneutralize habari zao za kifisaditiss have struck again ili ionekane wakristo wameretaliate...sh@#zi zao.
Tuliwaambia na mkabisha, marafiki zenu hao toka uarabuni!
BonjourTunajua, so what?
Tunajua, so what?
Anawashwa huyo
Bonjour