nygax
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,370
- 865
Hapa hakuna urafiki wa kweli ndugu yangu.Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.
Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.