Mlipuko ofisi ya Mawakili, CCM yakaa kimya

Mwigulu na mabomu ya arusha aka Savimbi, bado mnaendelea kumkasirisha Mungu mbabe samuel doe mnamkumbuka na mwisho wake?
Savimbi wewe hujafikia hata robo ya utesaji wa Samuel doe,au yule wa Libya endeleeni tu tunamwachia mwenyezi Mungu
 
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .

Mytake , Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Mtu akidondosha ela na kulia watu watamsikitia lakin aliye okota anasema mbona fresh tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swai la kijiuliza inteligensia ilishindwa kubaini wahusika mpaka wametengeneza boom wameplan na ku execute plan yao, polisi na intel community wpte wameshindwa kuzuia.

Ni jambo dogo lakini aibu tunayopata kama taifa ni kubwa sana

Ipo wapi anti terror squard yetu, ipo wapi tiss mpka watu wanalipua ofisi karibu na makao makuu ya jeshi
 
Matukio ya kulipuliwa maeneo, kumwagiana tindikali yalitokea sana nchini kipindi fulani ccm hawakutoa tamko sioni kwanini kwenye hili tukunjane mashati.

Ila labda ni kwa vile hakuna rambirambi inayohusika ndiyo maana wamekaa mbali kwa hatua 567 zaidi.
 
Ndiyo. Una swali jingine?
Ama kweli ndo maana mnateka watu na ss mmeamua kuyafabya hayo kwa wanasheria nani aliwaambia msaini mikataba mibovu nani aliwadanganya mikataba huvunjwa hivyo?leo mambo magum mnataka kupoteza ushahd kwa kutaka kuwazuru wanasheria bora kabisa mnashindwa nn kuwatumia wanasheria wenu viraza kushinda kesi ,haya kila sehrm madeni bado samaki wa magufuri,hilo la b 87 ,moil 15b yote yy


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .

Mytake , Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Watakao kuwa busy kwenye ili ni wapinzani na siasa za matukio!!
 
Hujuma zisizo na tija zitaliangamiza taifa. Siamini kama mahali pale panashambuliwa na mlipuko kisha walinzi wa makao makuu ya jeshi washindwe kutoa msaada! Hapa sio bure kuna namna mfumo umehusika na sidhani kama wataweza kujichunguza. Twafaaaaa!
 
Back
Top Bottom