Mlipuko ofisi ya Mawakili, CCM yakaa kimya

Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.

Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
Hapa hakuna urafiki wa kweli ndugu yangu.
 
Taarifa zilizonifikia ni kwamba uzi huu umewachukiza wengi sana , lakini naomba nichukue wasaa huu kuwapa pole sana .
 
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.

Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
Mbona hamkuwaulizia CCM wakati Lissu anawatetea wezi wa madini yetu.
 
Ahhhh katika mazingira ya sasa. Unadhani nani ni Simple kuchoma hiyo Office. Chadema au CCM. Katika maisha ya CCM haiwezi kuwa na akili ya wazi hivyo. Afu ili iweje. Tukumbuke. Serikali jamani ina nguvu na uwezo. Wakati mawakili maprof. Wafanyabiashara. Wanauwa. Na watu wanaendesha boda boda. Haya maneno hayakuwepo. Kwa akili ya Lissu. Mi nahisi ndo angekuwa wa kwanza kuhisiwa. Mana anafaida ya cheap Popularity kuliko wengine. SIASA NI HATARI SANA. NYIE ENDELEENI kushabikia ujinga ujinga badala ya Kusaka. Noti. Tangu JPM aingie madarakani. Wengi mpo online kuliko zamani na pumba zenu. Sasa sijui Mnahitaji Rais akuambie kidogo kidogo hujaza kibaba.
 
Samahani mkuu , uko nje ya topic .
 
Mbona hamkuwaulizia CCM wakati Lissu anawatetea wezi wa madini yetu.
Pamoja na kwamba uko nje ya mada lakini ningependa kukusaidia jambo dogo tu , kwamba wakati mnaingia hiyo mikataba chini ya mtutu wa bunduki , Lissu alikuwa anapinga wananchi kuzikwa wakiwa hai ndani ya mashimo ili kupisha wawekezaji , hawa mnaowaita leo wezi .
 
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.

Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
Wale makada CCM kule kibiti walipokua wanauwawa kwa kupigwa risasa chama cha CHADEMA kilitoa tamko gani?,hebu tuanzie hapo kwanza

ploudly ngosha
 
Back
Top Bottom