Mlipuko ofisi ya Mawakili, CCM yakaa kimya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,426
215,186
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.

Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
 
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .

Mytake , URafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
CCM wana mambo mengi ya kufanya bhana!!.... Nyie chadema lazima mumpe pole kada wenu Masha.
 
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .

Mytake , URafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Haiwahusu mkuu
 
wewe huoni jinsi wapenzi wake walivyofurahi humu toka jana baada ya kusikia ofisi ya imma imeungua. fuatilia mijadala humu utaona
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom