Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,375
- 45,019
Hujamsikia Kamanda Sirro anasema mauaji yalisababishwa na dhuluma. Sasa ukidhulumu unategemea nn?Viongozi kibao wa ccm wameuwawa kibiti Mashinji mpaka kesho yupo kimya. Sembuse kaofisi kamoja tu?