Mlipuko ofisi ya Mawakili, CCM yakaa kimya

Hujuma zisizo na tija zitaliangamiza taifa. Siamini kama mahali pale panashambuliwa na mlipuko kisha walinzi wa makao makuu ya jeshi washindwe kutoa msaada! Hapa sio bure kuna namna mfumo umehusika na sidhani kama wataweza kujichunguza. Twafaaaaa!
 
Watatoa tamko gani wakati mwenyekiti wa chama chao alishatoa amri kuwa mawakili wanaowatetea wale wote wenye tuhuma za ufisadi na uhujumu uchumi nao washughulikiwe?
Sasa hapo ajabu iko wapi eti ya kutafuta mhusika
 
Ama kweli ndo maana mnateka watu na ss mmeamua kuyafabya hayo kwa wanasheria nani aliwaambia msaini mikataba mibovu nani aliwadanganya mikataba huvunjwa hivyo?leo mambo magum mnataka kupoteza ushahd kwa kutaka kuwazuru wanasheria...
Kama una ushahidi peleka polisi.
 
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.

Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
Hawawezi kulaani uovu wa Mwenyekiti wao, hata Clouds TV walipovamiwa walikaa kimya(japo hawa ni heri tu wavamiwe tena)!
 
Kaofisi mlipue wenyewe, halafu mtake sympathy ya CCM. Mnafanya manbo yaliyopitwa na wakati. Miaka fulani pale Arusha mlijilipua wenyewe mkasema tukio zima mlirekodi kwa kutumia DVR, mbona mpaka leo kimya, achani kutafuta huruma ya watu kwa kutumia mambo yasiyowezekana
 
kinya28082017.jpg

Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.

Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
 
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.

Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.

Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.

Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
ccm itoe tamko kwani mlipuko huo ni wa kisiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom