Haya mambo ya milipuko yaingizwe kwenye katiba mpya ili kuzuia milipuko isiyotarajiwa
Hii bar c ndo inaitwa makalio-- bar, na huwa panajaa sana siku ya mechi hasa leo palifurika maana mwenye bar ni mdau mkubwa wa barcelona, na leo barcelona ilicheza na man city, so cjui lakini inawezekena japo nakaa karibu na cjasikia hizo habari.
Yuko na mbebz wa ukweli you know... hawezi kumwacha mbebz you know HA HA HA HA LE big show le baharia ha ha ha..!
night park arusha kwa mollel almaarufu kama ------ bar...
Mkuu isijekuwa ni mlipuko wa transformer...
Pole kwa majeruhi wote.
Mods kama hii habari haina ukweli naomba huu uzi ufutwe tuache kutiana presha za bure
Mwongo
Ngoja niende eneo la tukio, niko hapa tanzanite kimandolu
Ngoja niende eneo la tukio, niko hapa tanzanite kimandolu
ngoja nielekee lenana au big L najua atakuwepo!
Ngoja na mimi naelekea huko,niko hapa City Link mkuu.
Why Arusha all the time?
Ukifika.nijuze chief!!