Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,889
- 132,186
Manga, lengo ni jf be the first to know, akiishapata habari kamili, atamalizia!.Mkuu huu uchoyo wote wa nini?? Si ungejinyamazia tu? Si lazima uwe wa kwanza kurepoti jambo. Utakuwa wa maana ikiwa utaleta ripoti yenye mifupa na minofu juu yake. Siyo Skeleton. Eleza jambo tulielewe. Wengine tuna ndg huko. Wengine bado tuna mawazo fresh ya Olasiti na Unga ltd. Usitupandishe BP bure.
Mwingulu yuko wapi jamani??? Hivi yupo bungeni kweli naona kakaa kimya saana this week. Aisaidie polisi kubaini chanzo wasije sema ni kitu kibutu kwani Chagonji hachelewi
PJ hali kwa sasa ikoje?
Mkuu huu uchoyo wote wa nini?? Si ungejinyamazia tu? Si lazima uwe wa kwanza kurepoti jambo. Utakuwa wa maana ikiwa utaleta ripoti yenye mifupa na minofu juu yake. Siyo Skeleton. Eleza jambo tulielewe. Wengine tuna ndg huko. Wengine bado tuna mawazo fresh ya Olasiti na Unga ltd. Usitupandishe BP bure.
Mwingulu yuko wapi jamani??? Hivi yupo bungeni kweli naona kakaa kimya saana this week. Aisaidie polisi kubaini chanzo wasije sema ni kitu kibutu kwani Chagonji hachelewi
Inasemekana ni Transformer limepasuka na umeme baadhi ya sehemu hakuna Arusha.
inategemea na mpira kama ndo ule uliozoea utasikia saa ngapi na muda huo labda ndo ulikuwa unafunga goli la pili, huwezi sikia mkuu hata Kama mlipuko ungetokea uwanja wako wa pambano!- Jamani mbona nipo hapa ndio kwanza tumetoka mpirani na sijasikia kitu mkuu au?
Le Mutuz System
Mkuu huu uchoyo wote wa nini?? Si ungejinyamazia tu? Si lazima uwe wa kwanza kurepoti jambo. Utakuwa wa maana ikiwa utaleta ripoti yenye mifupa na minofu juu yake. Siyo Skeleton. Eleza jambo tulielewe. Wengine tuna ndg huko. Wengine bado tuna mawazo fresh ya Olasiti na Unga ltd. Usitupandishe BP bure.
Mwingulu yuko wapi jamani??? Hivi yupo bungeni kweli naona kakaa kimya saana this week. Aisaidie polisi kubaini chanzo wasije sema ni kitu kibutu kwani Chagonji hachelewi
Moderator saidia kuunganisha hii Uzi na ule ulizokwisha anza zaidi ya lisaa lililopita, jamaa amesahau kuwa hapa Kila sekunde watu wanatupia thread!Kuna taarifa kuwa kuna mlipuko inasadikiwa kuwa ni bomu katika baa inayojulikana kama Matko bar.....Arusha by night ( not sure of a correct name).
kuna majeruhi wamepelekwa Dr Mohamed tank la maji.
source. mimi mwenyewe nimesikia kishindo nikiwa hospital ya Mohamed tank la maji.
------ bar ndo imelipuliwa. Watu wameumia. Hatari sana. Sijui rafikibyangu mwoleka ana hali gani.
------ bar ndo imelipuliwa. Watu wameumia. Hatari sana. Sijui rafikibyangu mwoleka ana hali gani.
Mjombako nini? au genge moja?