Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,041
- 14,962
Tuki controo ndio basi ila nachojua hawezi kuifunga kama china....Vipi kuhusu sisi tushapata mbadala? Au tuki ikotro ndo basi
Waliifunga serikali itakosa mapato makubwa ya data...
Tuki controo ndio basi ila nachojua hawezi kuifunga kama china....Vipi kuhusu sisi tushapata mbadala? Au tuki ikotro ndo basi
Juzi wakati majaji wanaapishwa pale Ikulu tulisikia rais akilalamikia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Rais akaenda mbali zaidi na kusema hadhani kama China kuna gugo au wasapu,akimaanisha maendeleo yanasababishwa na kutokuwepo mitandao hiyo.
Mimi tunaendana sana na Magufuli,hatupendi kusafiri nje kwa sababu inapoteza hela. Lakini tumetofautiana jambo moja,mwenzangu licha ya kutokusafiri nje anajua mambo mengi ya nje wakati mimi nipo giza.
Leo ukiniambia pale Kampala hakuna gugo itabidi nikubali tu,maana naisikia kwenye vyombo tu. Sasa wajuzi mtuambie hali ikoje huko China,kama kweli hawana gugo wanaishije?
Halafu hawa watu wanaosafiri nje ili kumletea habari za nje Mh.Rais mleteeni habari za uhakika ili kupunguza kudhani
Mbona kuna raia wapo China Huwa wanapost.picha fb Huwa wanafanyaje?Google, Facebook, snapchat na and mingine mingi banned in China ila Gmail inafanya kazi na wachache kwa sana wanaweza kutumia whatsapp kwa VPN unaweza ku Google mwenyewe
Vizuri uwaulize lakini all in all facebook blocked in ChinaMbona kuna raia wapo China Huwa wanapost.picha fb Huwa wanafanyaje?
Aombewe, Lack of exposure imtokeZiko banned ila unaweza zi access via vpn lakini hainaanishi kwamba hawana mbadara wake, wana mbadara wake kwa wechat, weibo n.k
Wachina uwa wanaban technology za west wanatengeneza mbadara wake hata uber china walianzisha mbadara wake.
Kwahiyo mkulu yeye anatamani zifungwe kabisa wakati hakuna mbadara wa hizo apps hapa Tanzania
Acha kudanganya umma mkuu,hakuna apps isiyofanya kazi China, mimi nimeishi China zaidi ya miaka 10 apps zote zinafanya kazi iwe FACEBOOK, WHATSAAP, YOUTUBE, INSTAGRAM n.k LAKINI FACEBOOK, INSTAGRAM, YOUTUBE MPAKA UTUMIE VPN (VIRTUAL PRIVATE NETWORK). Sambamba na hili, Wachina bado wana mitandao yao ya kijamii mfano ni WEIBO, WECHAT,QQ,YOUKU n.k Kama hamna uhakika na mnacho kisema kaeni Kimya tu kuliko kuhabarisha UONGO UONGO tu.Kifupi google apps hazifanyi kazi china
Ila wao wanadata base yao na kudevelop alternative apps zote na search engine yao (Baidu)
Mafano youtube wao yao inaitwa youku,
Wao wanajianda kuwa superpower lazima waweze kuwa na ushawishi ktk sehem zote muhim kama ilivyo marekan sasa.
Kwaiyo wasingekuwa na mlengo huo wa kuwa superpower huenda nao wangekuwa wanatumia kama hizi zetu(social networks)? Kama ni hivyo basi hakuna haja ya kufungia wala ku disturb hii tulionayo kwa sababu hatuna alternatives. Afu suala la mitandao kuhusiana na report ya CAG linaingiaje wakati kinachotafutwa hakijathibitishwa kilipo?(kutothibishwa ndo kumepelea kuenea kwa hiki kinachoitwa uongo). Ku disturb mitandao itakuwa ni kuwaonea wananchi tu kwa sababu kama waliosema kuhusu iyo 1.5Tr wapo (akina Zito) na wamesema wapo tayari hata kwenda mahakamani kutolea maelezo kile wanachokiongea sasa si waanze na hao kwanza? By the way kwenye hii report kutakuwa na shida sehemu, si bure. Maana sijaona hata mmoja anaye hit point.Kifupi google apps hazifanyi kazi china
Ila wao wanadata base yao na kudevelop alternative apps zote na search engine yao (Baidu)
Mafano youtube wao yao inaitwa youku,
Wao wanajianda kuwa superpower lazima waweze kuwa na ushawishi ktk sehem zote muhim kama ilivyo marekan sasa.