Mliowahi kufika China, ni kweli hakuna Google wala WhatsApp?!

Mliowahi kufika China, ni kweli hakuna Google wala WhatsApp?!

Kizuri chajiuza kibaya cha jitembeza watu wamechagua kutumia app za west, japo hizo qq, wechat na weibo zipo ukitaka unatumia lakini watu wamechagua kutumia whatsapp youtube n.k
Sasa kuhama west ukaelekea china kuna tofauti gani?
Nilidhani una suggest tutengeneze ya kwetu
Hao watu unaosema walichagua watumie app za west ni akina nani? Kulikuwa na uchaguzi ulioshirikisha wananchi wote au bunge? Acha kujidanganya, TCRA ikiamua hata kesho tunahamia apps za kichina au za urusi!
 
Faza angeiga tabia ya Mkwere kupotezea ingemsaidia sana!

Jana aliempandisha Mizuka ya kuongea Mzee wetu Ni Yule Paparaza Greyson!

Yule 'zaifu' toka Msoga alikuwa kwenye Kuapishana Ni mwendo wa Kamera Na mapicha baada ya Viapo mnaenda kwenye cock tail then mnasambaa!
Ni kwamba Wazazi wenu walikosa malezi kabla ya kulea ndio wakawaharibu kwa kuwapa malezi ya hovyo,
Au
Mmelaaniwa?
Ama Mibangi inawapeleka kubaya?

Uwe na adabu unapoongea kuhusu watu wazima Mzee.....Ndio nini sasa??

Ni busara isiyokugharimu na ambayo hupaswi kuipinga iwapo Ubongo wako una afya nzuri.
 
Ziko banned ila unaweza zi access via vpn lakini hainaanishi kwamba hawana mbadara wake, wana mbadara wake kwa wechat, weibo n.k
Wachina uwa wanaban technology za west wanatengeneza mbadara wake hata uber china walianzisha mbadara wake.
Kwahiyo mkulu yeye anatamani zifungwe kabisa wakati hakuna mbadara wa hizo apps hapa Tanzania
Hazina faida kwa jamii isiyokuwa na elimu/kazi...wazifunge tu
 
Wasukuma ndo wanaongoza kwa ushamba hapa Tanzania,juzi kati kaiga misemo ya waswahili kaishia kuchapia eti"wataula wa chunya" badala ya"wataula wachuya"
Wasukuma wamekufanya nn ww msukule?? Yule mzinza sio msukuma. Trillion 5 ziko wapi??
 
Tumeamua kuwa wajinga ili miaka 10 ipite salama. This Z shame.
 
Hazina faida kwa jamii isiyokuwa na elimu/kazi...wazifunge tu
Watu wanaelika zaidi kupitia google kuliko darasani. Watu wamenufaika sana kuptia google.
Whatsapp imewaweka watu karibu imesaidia wajasiriamali na ufanyi biashara mtu unauza kitu unamtumia picha kirahisi. Watu wameanzisha vikindi vya mafunzo ya ujasiriamali via whatsapp.
Hakuna kisicho na negative impact duniani lakini ringanisha mazuri na mabaya yake.
Watu mnaokurupuka hamuwezi kuliona hilo maana mnakuwa much know
 
Hao watu unaosema walichagua watumie app za west ni akina nani? Kulikuwa na uchaguzi ulioshirikisha wananchi wote au bunge? Acha kujidanganya, TCRA ikiamua hata kesho tunahamia apps za kichina au za urusi!
Sisi hapa ndio tumechagua na wewe ukiwemo.
Ukiingia playstote au appstore utakuta apps zote zipo za kirusi za kichina na west wewe mwenyewe bila kushuruishwa na mtu utachagua za west.
Kwanini unatumia whatsapp na sio qq wala wechat wakati zote zipo playstore na appstore? Umelazimishwa ta TCRA? Si unechagua mwenyewe.
Kwanini watumia twitter na wala siyo weibo? Umelazimishwa na TCRA? Si umechagua mwenyewe.
Hivyo ni uchaguzi wa watu ndiyo maana kwenye manunuzi wengi watachagua alibaba mtandao wa kichina hawajalazimishwa pia ila kwenye social interaction waachagua apps na mitandao ya west.
Kichagua siyo lazima upige kura, vitu viko mbalimbali kwenye kapu we unachukua utakacho ndicho kilichotokea watu wengi wamechagua mitandao ya west dhidi ya mitandao a kichina na kiruusi
 
Yule mzilankende ni muongo sana,anaona kila mtu juha kma yeye china wanatumia mitandao ya kijamii,nimeamini kua PHD yke ni feki ndio mana ametuibia 1.5 trilllion
 
Hili zee jiwe siyo la kuweka kila lianchozungumza kiwe akilini mwako!
 
Leo nimegundua watanzania wegi humu Jf niwafanyabishara China au wana ishi China au wana ndugu, kumbe vyuma avija kaaza kwa baadhi kwasababu nauli ya China sio chini ya $1200
Vyuma vimekaza kwa wapiga deal tu 🙂🙂🙂🙂🙂🙂, China wabongo wamejaa tena kama mwezi huu watatu Mpaka Hotels zinakosa vyumba sababu ya wateja wengi na wengi ni WABONGO wanaofanya biashara.
 
Back
Top Bottom