Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,462
Hata mm nina ndugu china wengi tu wanatumia whatsap ila mmoja humu kasema mpaka uweke VPN mkuu VPN ni virtual private network. Yaan ni likitu ambalo lipo ila halipo ni la kufikirika ndo maana ukiwa na vpn mtu hawezi kukutrack na kukupata. Nafikiri mmenielewa, kwa wale tulosoma ethical hacking tunaijua vizuri hii maneno. Hata ukibrowse deep web lazima utumie vpn