HahahahaaaaWasukuma ndo wanaongoza kwa ushamba hapa Tanzania,juzi kati kaiga misemo ya waswahili kaishia kuchapia eti"wataula wa chunya" badala ya"wataula wachuya"

Hahahaaaa,,,muhutuHivi na wewe unaamini ni SUKUMA lile ?
- Hakuna Msukuma mwenye ROHO MBAYA Vile
Huyo mtoto wa kichina ndio supplier wako?..umeficha chini ukasahau namba ya juu ni sawa na ya chini!..
Acha kudanganya umma mkuu,hakuna apps isiyofanya kazi China, mimi nimeishi China zaidi ya miaka 10 apps zote zinafanya kazi iwe FACEBOOK, WHATSAAP, YOUTUBE, INSTAGRAM n.k LAKINI FACEBOOK, INSTAGRAM, YOUTUBE MPAKA UTUMIE VPN (VIRTUAL PRIVATE NETWORK). Sambamba na hili, Wachina bado wana mitandao yao ya kijamii mfano ni WEIBO, WECHAT,QQ,YOUKU n.k Kama hamna uhakika na mnacho kisema kaeni Kimya tu kuliko kuhabarisha UONGO UONGO tu.
Yaani "anadhani" tu bila kujua uhalisiaMleta mada nilivyomuelewa "Unaweza vipi kujua mambo ya ndani ya jirani yako ilhali hats hujawahi ingia ndani achilia mbali kubisha hodi"?
Juzi wakati majaji wanaapishwa pale Ikulu tulisikia rais akilalamikia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Rais akaenda mbali zaidi na kusema hadhani kama China kuna gugo au wasapu,akimaanisha maendeleo yanasababishwa na kutokuwepo mitandao hiyo.
Mimi tunaendana sana na Magufuli,hatupendi kusafiri nje kwa sababu inapoteza hela. Lakini tumetofautiana jambo moja,mwenzangu licha ya kutokusafiri nje anajua mambo mengi ya nje wakati mimi nipo giza.
Leo ukiniambia pale Kampala hakuna gugo itabidi nikubali tu,maana naisikia kwenye vyombo tu. Sasa wajuzi mtuambie hali ikoje huko China,kama kweli hawana gugo wanaishije?
Halafu hawa watu wanaosafiri nje ili kumletea habari za nje Mh.Rais mleteeni habari za uhakika ili kupunguza kudhani
Zipo kupitia VPN, ila China wanayo mitandao yao kama ilivo Korea kaskazin,lengo ni kuipromote mitandao yao,na sio ya kutoka west.Mitandao inakuza maendeleo na sio kikwazo cha maendeleo,ila ni kikwazo kwa wasiopenda maendeleo wakiwemo mchwa na miungu watu kuumbua siri zaoJuzi wakati majaji wanaapishwa pale Ikulu tulisikia rais akilalamikia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Rais akaenda mbali zaidi na kusema hadhani kama China kuna gugo au wasapu,akimaanisha maendeleo yanasababishwa na kutokuwepo mitandao hiyo.
Mimi tunaendana sana na Magufuli,hatupendi kusafiri nje kwa sababu inapoteza hela. Lakini tumetofautiana jambo moja,mwenzangu licha ya kutokusafiri nje anajua mambo mengi ya nje wakati mimi nipo giza.
Leo ukiniambia pale Kampala hakuna gugo itabidi nikubali tu,maana naisikia kwenye vyombo tu. Sasa wajuzi mtuambie hali ikoje huko China,kama kweli hawana gugo wanaishije?
Halafu hawa watu wanaosafiri nje ili kumletea habari za nje Mh.Rais mleteeni habari za uhakika ili kupunguza kudhani
Ni lini umeanza kuwaamini wanasiasa wa chama chawala!?Juzi wakati majaji wanaapishwa pale Ikulu tulisikia rais akilalamikia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Rais akaenda mbali zaidi na kusema hadhani kama China kuna gugo au wasapu,akimaanisha maendeleo yanasababishwa na kutokuwepo mitandao hiyo.
Mimi tunaendana sana na Magufuli,hatupendi kusafiri nje kwa sababu inapoteza hela. Lakini tumetofautiana jambo moja,mwenzangu licha ya kutokusafiri nje anajua mambo mengi ya nje wakati mimi nipo giza.
Leo ukiniambia pale Kampala hakuna gugo itabidi nikubali tu,maana naisikia kwenye vyombo tu. Sasa wajuzi mtuambie hali ikoje huko China,kama kweli hawana gugo wanaishije?
Halafu hawa watu wanaosafiri nje ili kumletea habari za nje Mh.Rais mleteeni habari za uhakika ili kupunguza kudhani
Msukuma analisha watu korosho, sambusa na juisi ikulu.Faza angeiga tabia ya Mkwere kupotezea ingemsaidia sana!
Jana aliempandisha Mizuka ya kuongea Mzee wetu Ni Yule Paparaza Greyson!
Yule 'zaifu' toka Msoga alikuwa kwenye Kuapishana Ni mwendo wa Kamera Na mapicha baada ya Viapo mnaenda kwenye cock tail then mnasambaa!
Hatuna access ya kucontrol kisicho chetu hatuna sever za mitandao hio.MTU anaweza akatumia line ya nje ya nchi na akawa online au akaanzisha group lake online akatupia vitu tu.Mambo ya kurudishana stone age,kwenye u primitive hayawezekani kuna apps nyingi za kuaccess network zikiwemo VPN,wao wacontrol chadema ndo wanayoiweza vingine watakuwa wanakimbiza upepo, hawawezi kuzuia dunia isizunguke.Vipi kuhusu sisi tushapata mbadala? Au tuki ikotro ndo basi