Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,143
- 60,930
Laiti mngemuelewa mleta mada hii
Yaani nawaangalia tu
Yaani nawaangalia tu
Vipi kuhusu sisi tushapata mbadala? Au tuki ikotro ndo basiWanazo ila through vpn kwa kuwa walizi ban kuepuka kuingiliwa mambo yao na western country...
Wao wana mbadala wa kila kitu ila si hatuna hata mbadala wa toothpick industry...
Mleta mada nilivyomuelewa "Unaweza vipi kujua mambo ya ndani ya jirani yako ilhali hats hujawahi ingia ndani achilia mbali kubisha hodi"?Laiti mngemuelewa mleta mada hii
Yaani nawaangalia tu
Mimi nina marafiki wengi tu wachina waliopo China kwenye Facebook, tafiti zaidi mkuu.mi nanunua sana vitu china.. nachat kwa whatsapp na suppliers....
china hawatumii instagram, facebook etc... ila whatsapp ipo
Hapo ndipo utakapogundua tuna JITU JINGA sana. China hawatumii GOOGLE, FACEBOOK wala WhatsApp siyo kwa sababu eti Watu wanaIKOSOA serikali na kuambiwa ukweli mpaka inakasirika, SABABU kubwa ya kufunga mitandao hiyo ni ZA KIBIASHARA, Kulinda na kuwaWEZESHA wagunduzi wao wa ndani ili wanufaike kiuchumi, ndio maanaZiko banned ila unaweza zi access via vpn lakini hainaanishi kwamba hawana mbadara wake, wana mbadara wake kwa wechat, weibo n.k
Wachina uwa wanaban technology za west wanatengeneza mbadara wake hata uber china walianzisha mbadara wake.
Kwahiyo mkulu yeye anatamani zifungwe kabisa wakati hakuna mbadara wa hizo apps hapa Tanzania
Hivi na wewe unaamini ni SUKUMA lile ?Wasukuma ndo wanaongoza kwa ushamba hapa Tanzania,juzi kati kaiga misemo ya waswahili kaishia kuchapia eti"wataula wa chunya" badala ya"wataula wachuya"