Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,614
- 140,087
Juzi wakati majaji wanaapishwa pale Ikulu tulisikia rais akilalamikia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Rais akaenda mbali zaidi na kusema hadhani kama China kuna gugo au wasapu,akimaanisha maendeleo yanasababishwa na kutokuwepo mitandao hiyo.
Mimi tunaendana sana na Magufuli,hatupendi kusafiri nje kwa sababu inapoteza hela. Lakini tumetofautiana jambo moja,mwenzangu licha ya kutokusafiri nje anajua mambo mengi ya nje wakati mimi nipo giza.
Leo ukiniambia pale Kampala hakuna gugo itabidi nikubali tu,maana naisikia kwenye vyombo tu. Sasa wajuzi mtuambie hali ikoje huko China,kama kweli hawana gugo wanaishije?
Halafu hawa watu wanaosafiri nje ili kumletea habari za nje Mh.Rais mleteeni habari za uhakika ili kupunguza kudhani
Mchango mzuri japo maneno makali yametumika

Hapo ndipo utakapogundua tuna JITU JINGA sana. China hawatumii GOOGLE, FACEBOOK wala WhatsApp siyo kwa sababu eti Watu wanaIKOSOA serikali na kuambiwa ukweli mpaka inakasirika, SABABU kubwa ya kufunga mitandao hiyo ni ZA KIBIASHARA, Kulinda na kuwaWEZESHA wagunduzi wao wa ndani ili wanufaike kiuchumi, ndio maana
Hawana Google ila wana BAIDU, www.baidu.com inayomilikiwa na mchina na ni TAJIRI MKUBWA
Hawana Facebook ila wana TENCENT
Sasa JIWE linafikiri CHINA na wao lengo lao ni kama kutaka wafanye kila mtu MSUKULE kama POLE POLE