Mliopo kwenye ndoa naombeni uzoefu wenu

๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ Acha nikae kimya lkn kama una moyo mdogo usipende kabisa utakufa na pressure nanukuu maneno aliyoniambia mama glory mke wa mtu

"lakini awiaman shahawa zako ni nzito na nyingi kuliko za mume wangu"

Hapo ninacheka cheka tu ndo maana mm sithubutu kuoa hii dhambi itanirudi na kunitafuna

#kataa ndoa kijana#

Shupaza shingo ufe ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Usidharau taa nyekundu, ukikosa amani moyoni usitafute ushauri kwa watu hiyo ni taa nyekundu huenda mbele kuna hatari.
 
Wanaume wa dunia nzima hawawezi kupenda mwanamke wa tabibia ya kufanana. Kila mtu na tabia anayoitaka. Ni ngumu kikujibu ndio qu hapana. We kama anakufaa wewe chukua maana utaishi nae wewe sio sisi
 
Ila vijana tumechanganyikiwa unaoa malaya wa bar baadae uanze kusema ndoa ni mbaya vijana tujitafakari familia tunazoenda kuoa
 
Back
Top Bottom