Ni wife material lakini sivutiwi kimapenzi. Je, nimuoe au nisioe?

Xi jiping

JF-Expert Member
May 7, 2021
414
527
Tuko kwene mahusiano kwa mwaka sasa, na sasa nataka nimuoe kwani ni mwanamke ambae ni wife material
Ila shida ni kwamba si mtu ambae navutiwa nae kiasi kwamba yeye ndo ananipenda.

Naenda tu kwa kujilazimisha ila akinipa penzi nakula kifupi mimi ni mzee wa show. Naweza lala na mtu hata nisiempenda kwasababu tu ya ashki.

Naombeni ushauri.

Nahisi kama maisha ya ndoa yatanichosha
 
Kama huvutiwi naye huyo siyo wife material kwako, na ukishamuoa ndo utajua kuwa umeuvaa mkenge!
Hapana Kwa MWANAUME unatakiwa UOE mwanamke ambaye hujafika bei Kwa 100%
Baada miaka 5 katika NDOA
utashukuru MUNGU kwakukupa huyo MKE

Kwa sasa huyo DOGO hawezi kunielewa Kwa 7bu Bado mdogo sana
Ngoja akue ayaone akidhani atayaona MAGHORIFA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom