kichwanewz
New Member
- Dec 31, 2022
- 2
- 10
Itatimia wakati flani ambapo utahitajika kuoa. Na kuoa huwa kuna harakati zake. Mtu hafai kuingia katika mpango wa ndoa bila ya kutambua yule ambaye ataona naye.
Ikija katika maswala ya kuoa, utaskia wengi wakitumia maneno kama
Kuna baadhi ya vigezo ambavyo watu huangalia na kutambua kama mwanamke ni wife material au la. Na muhimu zaidi huangalia tabia na matendo ya mtu.
Kosa ambalo wengi hufanya ni kuwa wanakimbilia kuoa mwanamke bila ya hata kusoma tabia za wanawake hao ndio unapata wakati mwingine ndoa za baadhi ya watu zinakuwa na shida miaka michache baada ya kuoana
1. Anakusikiliza wakati unaongea.
Ijapokuwa hili linaonekana swala dogo, ikija kwa kuchagua mwanamke lina umuhimu mkubwa. Mwanamke ambaye anakusikiliza wakati unapoongea ni ishara kuonyesha kuwa anakuheshimu. Na heshima ndio msingi wa ndoa.
2. Anaingiliana na wengine kiurahisi.
Mwanamke wife material ni yule ambaye ni rahisi kwake kuingiliana na watu wengine bila tatizo. Hakasirishwi na mambo madogo madogo ambayo wengine wanaweza kumfanyia. Badala yake yuko tayari kukumbana na chochote ambacho atapitia akiwa anajumuika na wengine.
Ikija katika maswala ya kuoa, utaskia wengi wakitumia maneno kama
wife material
ama mke bora
. So utamtambuaje mwanamke ambaye ni wife material/mke bora?Kuna baadhi ya vigezo ambavyo watu huangalia na kutambua kama mwanamke ni wife material au la. Na muhimu zaidi huangalia tabia na matendo ya mtu.
Kosa ambalo wengi hufanya ni kuwa wanakimbilia kuoa mwanamke bila ya hata kusoma tabia za wanawake hao ndio unapata wakati mwingine ndoa za baadhi ya watu zinakuwa na shida miaka michache baada ya kuoana
Tabia za mwanamke ambaye ni wa kuoa (wife material)
1. Anakusikiliza wakati unaongea.Ijapokuwa hili linaonekana swala dogo, ikija kwa kuchagua mwanamke lina umuhimu mkubwa. Mwanamke ambaye anakusikiliza wakati unapoongea ni ishara kuonyesha kuwa anakuheshimu. Na heshima ndio msingi wa ndoa.