Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Anagalia tabia sio dini, maana kuna jamaa alikuwa analalamika kuwa mke wake mlokole fulu matamasha ya kilokole kila siku, mara safari za kuhubiri, mikesha ya usiku, michango ambayo hutakaa uijue n.k. Nadhani sio wakati wa kukomaa na dini., angalia tabia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wanawake walokole ni wazuri sana maana wengi walisha fanya dhambi sana ndio mana wakaokoka .. wanaanza maisha upya..
yaani wakitulia na msela wanatulia haswa maana wamesha pitia mapigo yote..
ttz la walokole wengi ni wachakavu huwezi kuta ngoma mbichi lazima kilometa ziwe zimesoma mzee
usipotoshe sio poa...mwacheni aoe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom